mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SSH wa TanzaniaKuna watu watatu duniani wanaoipa presha sana marekani kwa sasa: Putin wa Urusi, Ebrahim wa Iran na Rais "Kiduku" wa Korea ya Kaskazini!!
Ni kweli ndio maana wanamvisha pempas
Putin anatua Iran hapo!
Sasa nchi mmoja ni sawa na EU nzima? Putin ka punic
Umemsahau X JinpingKuna watu watatu duniani wanaoipa presha sana marekani kwa sasa: Putin wa Urusi, Ebrahim wa Iran na Rais "Kiduku" wa Korea ya Kaskazini!!
Hii ya leo leo au
Ya leo hii, BBC swahili wameitangaza.....na mtemi recep Tayyip Erdoğan nae yupo huko!!Hii ya leo leo au
Kiduku mtoe...labda shin wa chinaKuna watu watatu duniani wanaoipa presha sana marekani kwa sasa: Putin wa Urusi, Ebrahim wa Iran na Rais "Kiduku" wa Korea ya Kaskazini!!
[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo Biden anaharisha ?
Walisema mgonjwa oooh amefariki daaah!!!Putin anatua Iran hapo!