Rais Biden, Waziri wa Ulinzi na Waziri wa mambo ya nje wa Marekani washitakiwa katika mahakama huko Marekani kwa kusaidia uzeshwaji wa Genocide Gaza

Isije kuwa wewe ndio mjinga

Wanawake, watoto, wagonjwa na wanafunzi hawajui hata kushika siraha kwanini wasitetewe

Kama wao vidume si wapigane na vidume wenzao wanamganbo wa Hamas
Hizo ni mbinu za kumkabili mpinzani mjinga kama wewe.Unaumiza wale anaowapenda zaidi ili ashuhudie,apate uchungu na ajute.Kwani Hamas walipoanzisha mashambulizi ndani ya Israel walitegemea kitu gani?Kwamba Israel watakuwa na silaha ambazo zikitumika zitachagua magaidi tu na kuwaacha akina mama na watoto?Unafeli wewe!Vita haina miwani.
 
Kesi nyingi za genocide ni pasua kichwa kuthibitika mahakamani. Na mara nyingi huwa zinafunguliwa kwa kuzingatia mihemko na sio kisomi zaidi. Matokeo yake zinaishia kuwa "dead on arrival".
 
Vita na Assassination vina uhusiano gani?
Assassination ya mtu kama Soleman ni tangazo la vita tayari. Au umesahau moja ya sababu ya ww1 ni mauaji ya Archiduke Franz Fernand?!
 
Assassination ya mtu kama Soleman ni tangazo la vita tayari. Au umesahau moja ya sababu ya ww1 ni mauaji ya Archiduke Franz Fernand?!
Uhusiano ni mdogo sana.
Achiduke alikua kiongozi mkubwa Soleiman ni moja ya makamanda hiyo inahitaji simple retaliation tu.
Alicholenga jamaa hakuna hot war Trump aloanzisha.
Pia hakuna vita alowahi kuishabikia na kujiunga nayo directly kama Biden.
Kama ipo tujuze.
 
Trump ni Republican na anajulikana Kwa msimamo wake mkali wa kusupport Israeli kuliko hata Joe Biden.
In short Trump anaona utawala wa Joe Biden unasuasua katika kuunga mkono Israeli.
Pia Soleman hakuwa kamanda mdogo kama unavyodai, he was considered the second most powerful person in Iran after Ayatollah Khamenei
 
Trump kuna namna zake za kuisapoti nchi kidiplomasia.
Ila hakuendekeza vita kama afanyavyo Biden.
Kama iko vita aliyojiingiza directly ilete hapa.
Qassem Soleiman ilihitaji limited retaliation sio full scale war .
Embu uwe unatizama matukio yapi ya kuingia full scale war na yapi yanahitaji retaliation.
 
Katiba yao haiwapi kinga ya kutoshitakiwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…