Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati.

Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake amrithi ili kukamilisha mpango wao mchafu wa muda mrefu.

Ikumbukwe lile kundi la kigaidi la boko haram linalapigania dini linaungwa mkono na wanasiasa na wanasiasa wanaonyoshewa mkono ni huyu buhari.

Ndio maana alipoingia madarakani boko haram ni km walufutika ila wakati yupo mtangulizi wake Jonathan, Boko Haram ilikaribia kuangusha serikali, wanasiasa hawa wanapokea mapesa kutoka iran na nchi nyingine za kiislam kuwaumiza wasio wasio Waislam.

Kule nigeria kuna majinmbo yenye waislam wengi haya majimbo wakristo wanateswa na kuchinjwa nyumba zao za ibada zinachomwa moto na boko haram ila bwana buhari ni kama haoni.

Hii imepelekea Rais mstaafu wa nchi hiyo olusagani obasanjo kujitenga na huyu mharibifu wa nchi buhari na kuzusha uhasama kati yao.

Huu ni mwanzo tu wa kuanguka kwa nchi ya Nigeria
Nchi ya Nigeria imepasuka na itaendelea kupasuka.
 
Nadhani wako nusu kwa nusu.

Lakini alicho kisema huyo mtoa mada hakina mashiko maana Buhari anapendwa na watu wa dini zote kutokana na kuweza kuwadhibiti boko Haram.
Boko haram ni wa dini gani?
 
Back
Top Bottom