Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Chuki dhidi ya UISLAM na WAISLAM itawamaliza nyie watu


Hata muuchukie UISLAM na WAISLAM hamtaweza kuwamaliza mtawaletea tu shida za hapa na pale

BOKO HARAM kundi la kigaidi linalojinasibisha na UISLAM na WAISLAM ambalo linafadhiliwa pakubwa sana na US ISRAEL EU na NATO

BUHARI sijakufatilia ila kama umechaguliwa na WANAIGERIA endelea kupiga kazi maneno hayajawahi kuisha midomoni mwa watu

MUNGU ibariki NIGERIA na BUHARI na WANAIGERIA wote kwaujumla wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyekudanganya buhari anapendwa ni nani? Unajua kuwa ananyoshewa mkono kuwa ndio wafadhili wa boko haram?

Angekuwa anapendwa asingetofatiana na obasanjo
Nadhani wako nusu kwa nusu.

Lakini alicho kisema huyo mtoa mada hakina mashiko maana Buhari anapendwa na watu wa dini zote kutokana na kuweza kuwadhibiti boko Haram.
 
Back
Top Bottom