Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Nigeria ilashaanguka tangu iliporuhusu matumizi ya sharia kwenye baadhi ya majimbo yao. Walipandikiza kasa, kuindoa ni shughuli pevu. Ndio maana kuna kitu kinaitwa azimio la abuja linalohusu nchi za afrika zinazoamini dini hiyo. Makao makuu yako abuja huko nigeria. Yaani nigeria ni kinara wa kueneza dini hiyo barani afrika
 
Blaahblaah tu,wanaenezaje!?
 
iai
huoni udini nchini humo? Ile nchi kuruhusu matumizi ya sharia isingeishia hapo tu ingeenea afrika nzima. Africa would be islamizedslamophobi
Islamophobia ni ugonjwa wa kuuchukia na kuuhofia uislam..tafuta tiba
 
iai
huoni udini nchini humo? Ile nchi kuruhusu matumizi ya sharia isingeishia hapo tu ingeenea afrika nzima. Africa would be islamizedslamophobi
Islamophobia ni ugonjwa wa kuuchukia na kuu
 
Haya makundi ya kigaidi nayo ni miradi ya watu kujifaidisha Kwa namna Moja ama nyingine iwe kiuchumi, kisiasa nk...Sasa hivi nusu asilimia ya wanaojiunga na ugaidi ni kutokana matatizo ya kiuchumi yanayowakumba yaani kujiunga kwaajili ya kutaka pesa maana huko Kuna pesa mingi, asilimia hamsini iliyobaki ni kutokana na sababu kama vile dini,kufuata wapendwa wao, kukata tamaa na maisha nk...divide and rule ndiyo njia pekee yenye ufanisi ktkt suala zima la kutawala, ikishindikana hii ni military invasion kutoka Kwa wababe wa Dunia .
 
naona mmeni tag, nipo, kwenye ule uzi nimekuambia tulia nijikoki nishibe nondo, nasoma nije nikusambaratishe kwa hoja maridhiwa sijakimbia. Nataka vijana wa kiislam muwe na akili safi
Sawa kijana kikubwa tuelimishane tu tafuta nondo

Lakini jitahidi fanya jambo ili upate elimu na sio ushindani!!!

Na kama ukiona Nonda zimekosekana unaonaje ukasilimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimefika NIGERIA mwaka Jana tu hapo, WAISLAM ni wengi kuliko WAKRISTO, Mbaya zaidi, ni Nadra kukuta Wakristo upande wa Kaskazini ila ni rahisi kukuta Waislam upande wa Kusini.
Usijidanganye kabisa kuhusu hilo.
Mkuu kutokana na ukosefu wa usalama ndiyo maana wakristo hawapo maeneo ya kaskazini. Muslim kasikazini wanamaisha magumu balaa.
 
Back
Top Bottom