Rais Chakwera: Wananchi msiwalalamikie Wanasiasa, wajibikeni kwenye suala la maendeleo ya Nchi

Rais Chakwera: Wananchi msiwalalamikie Wanasiasa, wajibikeni kwenye suala la maendeleo ya Nchi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa

Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake kutoka kwa Watu wanaomtaka awasaidie kulea Familia kwasababu tu yeye ni Rais

"Lazima tujitibu na tabia hii ya kuomba zaidi kutoka kwa Wanasiasa. Nchi yetu kamwe haiwezi kuendelea kwa tabia hiyo"

Amesisitiza haitojalisha ni Mwanasiasa gani anachaguliwa Ofisini au ni mara ngapi watu watamwambia Mwanasiasa abadilike, ikiwa watu wenyewe hawatabadilika

=======

Malawian President Lazarus Chakwera has asked each citizen to take responsibility for the country’s development rather than always demanding it from the politicians.

He said he had hundreds of messages on his phone from people asking him “to run their families for them” just because he is president - adding that MPs had similar messages from their constituents.

“We must cure ourselves of the habit of asking more of our politicians than we demand from ourselves… Our country will never develop with that kind of spirit,” he said on Monday.

The Malawian president asked citizens to implement plans at household level that were in line with a national development plan, which he was launching.

He gave an example of the country’s plan to improve productivity and commercialisation of agriculture - which he said could not happen “without fundamental changes at the household level”.

He said farmers had to think of diversifying the crops they grow and how they do it in order to improve harvests.

He said it “won’t matter which politician you elect into office or how many times you tell a politician to change” if the people did not change.

A video of the president's speech has been shared on Facebook:

Source: BBC
 
Nimemuelewa mheshimiwa rais. Serikali kazi yake imeweka mazingira wezeshi watu / raia / kampuni wafanye shughuli zao za kujiingizia kipato kisheria.

Ardhi ipo na mnaimiliki kupitia sheria za nchi hivyo fanyeni kazi kujiingizia kipato . Work the land. Utakula jasho lako kwa ukulima, ufugaji, uvuvi, biashara n.k Pia utatumia nguvu zako kujenga 'kibanda', kukabiliana na changamoto ya mafuriko madogo ya maji kwa kujenga mifereji, matuta n.k kuhifadhi nyumba yako au shamba, zizi lisichukuliwe na maji.

Ikiwa watu wa kule Nagorno-Karabakh jimbo la nchini Azerbaijan the South Caucasus au jimbo la Saskatchewan Canada wanaweza kujisaidia baada ya kuwekewa mazingira wezeshi sisi tunashindwa nini huku Afrika ya Malawi, Tanzania n.k

Mwana kijiji ajenga nyumba ya mawe na uzio wa mawe huko Nagorno-Karabakh jimbo la nchini Azerbaijan kwa kutumia malighafi inayopatikana ktk maeneo hayo yenye milima mirefu yenye mawe mengi. Tanzania ni wananchi wangapi wameweza kuokota mawe to ktk mito ya maji jirani na kwao wakajenga makazi bila kulilia matofali ya simenti na mchanga ghali ?

1636451373037.png

Picha : Nyumba ya mawe ya mwananchi huko Nagorno-Karabakh nchini Azerbaijan


Mfugaji akiendesha farasi katika shughuli zake za kila siku huko . Sisi tunashindwa nini kuendesha punda, ngamia n.k kufanikisha shughuli zetu ktk mazingira wezeshi

1636451902310.png

Picha mkulima na mfugaji wa jimbo la Saskatchewan Canada akiwa ktk harakati za kujiingizia kipato chake
 
Back
Top Bottom