Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe vya kwako viko wapi..
Kweni Katiba inasemaje
Kwenye huo utopoloKuhusu nini?
Sio mbaya naiona Tanzania ikienda kua nchi moja,na Zanzibar kua Mkoa rasmi. Piga kazi Mama.
Ameenda kama nani?Hajaenda pale kuwakilisha zanzibar,ameenda kuwakilisha jamhuri ya muungano wa tanzania
Ameenda kama nani?
Ikiwa kama Rais, hawajibiki kwa Samia Suluhu, Urais wa Zanzibar sio jambo la Muungano. Labda akiwa ameenda kama mjumbe wa baraza la mawaziri wa JMTPili: Ndio Raisi Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia, Samia ndiye mkuu wa nchi/raisi wa nchi
Na ameenda na waziri wa Ulinzi pia ukiangalia hapo kuna hoja waziri aliyetoka ambaye ni Mwinyi na waziri mpyaHakuna tatizo. Hata JPM alikuwa anamtuma JK na Mkapa kwenye vikao vya nje wakati Makamu wake yupo. Rais anaweza tuma yeyote hata wewe.
Pamoja na mengine, kikao kitajadili issue ya magaidi wa Msumbiji, Rais Mwinyi ni mtu sahihi coz alikuwa Waziri wa Ulinzi na mara kadhaa majeshi yetu yamepambana na hao waasi na kuwafurusha.
Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar ipo kwa mujibu wa sura ya nne ya katiba ya Tanzania ya 1977 na inafanya kazi kwa mujibuu wa katiba hiyo na katiba ya Zanzibar. Aidha kwa mujibu wa ibara yab 54 ya katiba ya Tanzania, Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri la Jamhuri ya Muungano.Ndugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Zanzibar ni sehemu ya Muungano kwa hiyo kutuwakilisha Mwinyi ni sawa kabisa na isitoshe Mwinyi ni Mtanzania,yale atakayopata na kuyafanya kwennye mkutano ni ya kwa manufaa ya Tanzania,kwa hilo anza kufikiria mambo ya maana kuuliza au kukosoa.Ndugu zangu!
Hebu tupeane ilimu kidogo. Kwenye mkutano wa SADC inasemekana Rais wetu atawakilishwa na Rais wa Zanzibar, Dr Hussein Mwinyi.
Hii ikoje kiitifaki?
Rais wa Mwinyi anawajibika kuripoti kwa Samia?
Huko SADC Zanzibar ni nchi mwanachama?
Maswali ni mengi, karibuni tujadili.
Yatafichuka mengi kutoka nyoyoni mwa watu kipindi hikiKwa kweli, Mwenyezi Mungu ametuweza. Mara ghafla paaaa nchi iko mikononi mwa wazanzibar.
Zamani hiyo, miaka ya 90 wakabadilisha katiba na kuja na mgombea mwenza. Sasa rais wa Zanzíbar ni memba wa baraza la mawaziri la SMT.Hujui rais wa Zanzibar Ni makamo kwenye serikali ya JMT!!!!?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kamuulize aliyemtuma siyo sisi- mbona unakuwa na uelewa mdogoWeka hoja acha hisia, hoja yangu ni swali... hivyo ni nafasi yako kunijuza.
Tupe hoja mkuu maana hutaki kuelewaHuna hoja, kwamba Rais Mwinyi ni 'raia' yeyote!
Wote mpo sawa yeye alikuwa anaamini Mungu kaondoa corona na wewe unaamini Mungu kamuondoa Jiwe kwa ajiri yenu.Mimi ni tofauti huyo Swahiba wako, fisadi lilojificha ndani ya uzalendo