MATAGA wanasema RC Chalamila angefaa zaidi kuwakilisha huo mkutanoNawashangaa WATANGANYIKA kwa kuhoji uteuzi wa Mama Rais kumchagua Rais wa Zanzibar, Dr. Mwinyi kumuwakilisha katika mkutano wa SADC huko Msumbiji.
Pia WATANGANYIKA hao wanaendelea kuhoji kwa kusema Rais ana Makamo wa Rais ambaye angeweza kumuwakilisha au hata Waziri Mkuu lakini kwa nini nafasi hiyo apewe Rais wa Zanzibar ? Hapo jibu analo mwenyewe Mama Rais.
Jee, bado WATANGANYIKA wanaiangalia Zanzibar kwa jicho la dharau. ? Napenda kusema wakati umebadilika na tutegemee mengi mema kutoka kwa Mama Rais.
Nawashangaa WATANGANYIKA kwa kuhoji uteuzi wa Mama Rais kumchagua Rais wa Zanzibar, Dr. Mwinyi kumuwakilisha katika mkutano wa SADC huko Msumbiji.
Pia WATANGANYIKA hao wanaendelea kuhoji kwa kusema Rais ana Makamo wa Rais ambaye angeweza kumuwakilisha au hata Waziri Mkuu lakini kwa nini nafasi hiyo apewe Rais wa Zanzibar ? Hapo jibu analo mwenyewe Mama Rais.
Jee, bado WATANGANYIKA wanaiangalia Zanzibar kwa jicho la dharau. ? Napenda kusema wakati umebadilika na tutegemee mengi mema kutoka kwa Mama Rais.
Kumstabilize au Ku-de stabilise??Naamini hii movie ilianzia Mozambique lakini kwa sehemu kubwa mmarekani alihusika na Nia kubwa ilikuwa kumstabilize jiwe....
Sasa jiwe kafariki kazi imeisha....
Lakini kazi haiishi bure bure ule Ni uwekezaji wakubwa wamefanya....
Lazima wawakutanishe wakuu wa nchi husika Kama walivyofanya...Kisha watawauzia technologies ilinkisaidia kuwaondoa wale Kule nampula de galdo.....
Ni Mimi mwana KICHWA CHA MWENDAWAZIMU
Kama ni hivyo waziri wa ulinzi wa sasa ilifaa ndio aende maana mtwara iko bara Mwinyi atashugulika zaidi na ZanzibarNahisi ajenda kuu ya kikao hiki itakuwa ni hali ya usalama Msumbiji. Kwa vile Rais wa Zanzibar alikuwa waziri wa ulinzi kwa muda mrefu anaweza kuwa amekaa vizuri kuliko VP wa sasa kutolea maelezo ya serikali ya JMT kuhusu ugaidi unaoendelea Msumbiji na ambao unanyemelea hapa kwetu.
Amandla....
Tuweni wakweli basi, hivi rais wa Zanzibar anaamua nini kikubwa yeye kama yeye? Rais wa Zanzibar ni kama mkuu wa mkoa tu. Hana jeshi, hana police, hana usalama wa taifa, hana mkuu wa magereza yaani hana chochote, tofauti yake yeye na Chalamila ni wimbo, ulinzi na msafara tu so mama kumtuma rais wa Zanzibar sioni kama ni issue kiviiile sana. Akija kwenye kikao cha baraza la mawaziri, Waziri anaheshima zaidi kuliko yeye yaani; ndio ukweli huoMwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Rais wa Zanzibar anaingia kwenye serikali kama.mjumbe wa baraza la mawaziri, Samia kachemka kama alivyotangaza maombolezo siku 14 bila kuangalia katiba inasemaje ingawa baadae alibadilisha.Tuweni wakweli basi, hivi rais wa Zanzibar anaamua nini kikubwa yeye kama yeye? Rais wa Zanzibar ni kama mkuu wa mkoa tu. Hana jeshi, hana police, hana usalama wa taifa, hana mkuu wa magereza yaani hana chochote, tofauti yake yeye na Chalamila ni wimbo, ulinzi na msafara tu so mama kumtuma rais wa Zanzibar sioni kama ni issue kiviiile sana. Akija kwenye kikao cha baraza la mawaziri, Waziri anaheshima zaidi kuliko yeye yaani; ndio ukweli huo
Katibu yupo pale ndiye mtendaji mkuu wa wizaraWaziri wa sasa ana miezi michache tu kazini. Na anatakiwa mtu senior.
Amandla....
Kamuulize aliyemtuma siyo sisi- mbona unakuwa na uelewa mdogo
Wewe umenielewa nilichoandika au umekimbilia tu kunita chizi?Wewe utakuwa chizi si bure kabla hujacomment au kureply ni vyema ukaelewa kilichoandikwa
Sahihi kabisaKiukweli kafanya vizuri kumtumia amwakilishe, mkumbuke hii ni jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni vema viongozi washirikishane wawakilishane, ondoeni fikra za kibaguzi!
Mkuu Tanzania ni muungano wa nchi mbili hakuna tatizo hapo, kama huo mkutano ungekuwa unahusu Tanganyika ingekuwa ni tatizoMwinyi hana kazi za kufanya huko Znz? au ndio wameanza kufanya kazi kishkaji hawa waswahili?
Kwani Dr. Mpango ana kazi gani? naona hii nchi sasa inaanza kujiendea tu kama gari bovu mtaroni.
Katibu Mkuu hawezi kumwakilisha Rais katika mkutano wa marais. Na anakiwa aende mtu anaetambua kuwa yeye ni mwakilishi tu na sio ndio Rais mwenyewe.Katibu yupo pale ndiye mtendaji mkuu wa wizara
Rais wa Zanzibar hatakiwi kumwakilisha rais kwa mambo ya muungano ndio maana kwenye katiba wameweka wazi rais akitoka upande mmoja makamu wake anatoka upande mwingine na hata rais tuliyenaye tumempata kwa utaratibu huoKatibu Mkuu hawezi kumwakilisha Rais katika mkutano wa marais. Na anakiwa aende mtu anaetambua kuwa yeye ni mwakilishi tu na sio ndio Rais mwenyewe.
Amandla...
Kuna jamhuri ya muungano na serikali ya Zanzibar na kila moja ina mamlaka yakeKiukweli kafanya vizuri kumtumia amwakilishe, mkumbuke hii ni jamhuri ya muungano wa Tanzania, ni vema viongozi washirikishane wawakilishane, ondoeni fikra za kibaguzi!