Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Rais ndiyo Nembo

Hapa Tz.ndo mpango mzima siunaona na Lissu karudi.
 

UN yasikitishwa na 'ukandamizwaji wa demokrasia,haki za binadamu' Tanzania - BBC News Swahili
 
Kwan lazima aende Magufuli huko nje, unaelewa nini maana ya ugatuzi wa madaraka.
UGATUZI NI UCHAFUZI WA MADARAKA.... KAMA ALIVYO MEKO KILA KITU ANAAMUA YEYE.. M/KITI WA MTAAA ANACHAGUA YEYE BALOZI YEYE MKUU WILAYA YEYE MKOA YEYE MKURUGENZI YEYE KUJENGA BARABAA YEYE MADARAJA SALENDABRIDGE YEYE KIDOTI YEYE.. πŸ˜€ πŸ™„ YAANI KILA KITU YEYE.. KISUKUMA YEYE KIHUTU YEYE.. KATERERO YA KAGERA YEYE.. huu ndio ugatuzi wenyu na iwe lenyu
 
Sheria zetu hutungwa na kupitishwa na wabunge wa CCM hili halina mjadala. Hilo la wanachama 8+ milioni ni lako wewe na sijui lini ulifanya uhakiki huo na hata kama ulifanya uhakiki kumbuka wamo wanachama ambao hupigia kura mgombea wa chama kingine.
 
Huyu jamaa hata Civics hakusomaga ,pamoja na kuwa serikalini 20 years ana demonstrate incompetency kubwa Sana kwenye mambo ya democracy na utawala
 

..hivi Jpm hajui kwamba uenyekiti wa sadc hupatikana kwa mzunguko?

..labda Prof wa jalalani ndiye aliyemdanganya kuwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa sadc.
 
..hivi Jpm hajui kwamba uenyekiti wa sadc hupatikana kwa mzunguko?

..labda Prof wa jalalani ndiye aliyemdanganya kuwa amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa sadc.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 

..kweli.

..ingekuwa ni nafasi ya kuchaguliwa asingeipata.

..na angekwama kwasababu hawezi kuomba kura kwa kimombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…