Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Wakati wa awamu ya nne mlimlalamikia Sana JK kwa kupenda sana safari za nje, leo huyu hapendi safari za nje imekuwa kilio chenu tena.
Wapinzani hamueleweki mnachokitaka, target yenu Ni kupinga kila kitu (upinzani usiokuwa na tija).
Jk alizidi hata Safari ambazo angewakilishwa alienda yeye so alizidi kipimo ,huyu wa sasa hata zile Safari zenye mafanikio kwa ajili ya Watu (Wananchi) wake ameziwekea ngumu na misimamo mikali.