Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Balozi anamuwakilisha Raisi tuseme inatosha!!
Hata kipindi cha Mzee Kikwete mlimtetea hivyo sishangai kwa wakati huu kumtetea mtukufu Malkia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi anamuwakilisha Raisi tuseme inatosha!!
Sasa kwa uelewa wako, gharama ya safari zake za ndani Ina weza kuwa sawa na safari zake za nje[emoji848]?Kwani huu Msafara wake wa hapa hapa Nchini na Helkopter juu unajua anatumia kiasi gani Mkuu !?
[emoji15] Naona hii maada, iko nje ya uwezo wako wa kufikiri, nikushauri usubirie zile maada mserereko.Na ni kwa nini tunamchagua rais wakati tuna wasaidizi wa rais?
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sasa kwa uelewa wako, gharama ya safari zake za ndani Ina weza kuwa sawa na safari zake za nje[emoji848]?
unayejua kilichotakiwa kuongelewa si utupe maelezo basi! inawezekana na wewe hujui ulichokiandika ila ulitaka uonekane umejibu tu!Hujui unachokiongea!
Faida ya Rais kutangatanga nje kama Kikwete ipo wapi? Tuanzie hapo"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je ningechaguliwa kuwa mwenyekiti wa SADC, mimi nitabakia hapa hapa kuwapambania Watanzania wanyonge walionipigia kura sio lazima kwenda huko Ulaya " Dr Magufuli CHATO
Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Ndivyo walivyo hao hawanaga hoja.[emoji15] Naona hii maada, iko nje ya uwezo wako wa kufikiri, nikushauri usubirie zile maada mserereko.
Mbona umejibu kwa Jazba Kama Mbeligiji!? Kuna shida yoyote Ndg!?Hata kipindi cha Mzee Kikwete mlimtetea hivyo sishangai kwa wakati huu kumtetea mtukufu Malkia.
Wwee! Sky Eclat amka kumekucha acha kuota Mchana Raisi ni Magufuli,Lissu ni Mgombea tu!!Rais Lissu atatuwakilisha vyema.
Mbona umejibu kwa Jazba Kama Mbeligiji!? Kuna shida yoyote Ndg!?
Hizo mil 50 ulkuwa unataka kuzifanyia nini? Maana ndo imekuwa nongwa kama vile kwenye hivyo vijiji hakuna kilichofanyika zaidi ya hiyo mil 50.Kwani huko nje anaenda kukaa huko Mwezi mzima !?.
Na kipindi hichi cha Uchaguzi kipi cha maana alicho waambia Watanzania zaidi ya mambo yale yale ya Mabarabara na Madaraja !?.Uchaguzi wa 2015 aliahidi Milioni 50 kila Kijiji ,hajazitoa mwisho tumebaki na Manyoya tu.
Magufuli muongo kama kawaida yake. Mkutano mkuu wa UN mwaka huu unafanyika kwa Video conference hamna anaekwenda. Aache uongo haumsaidii au yeye alitaka kwenda kushiriki kwenye video?Kwani Magufuli alichaguliwa na wa ulaya
Kazi ya wasaidizi wake ni nini kama kila kitu afanye yeye?Wewe ndiye Rais wetu, uliechaguliwa kwa matokeo ya uchaguzi. Tulitegemea utakua unaiwakilisha nchi katika mikutano ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na pia Umoja wa Afrika. Matokeo yake uliwatuma wateule na wasaidizi wako. Tunahitaji Rais atakaetuwakilisha kwenye mikutano. Hatukuchagua mwari wa kukaa ndani.
Bora kipi? Aende sana ulaya na akiwa nyumbani misele mingi au aache kwenda ulaya na akiwa nyumbani misele mingi?.Nijibu kwanza tulinganishe Gharama za ziara za hapa Nchini na Nchi za nje.Halafu unapojadiliana na Watu usiweke Maneno machafu yasio na Sababu.
Duuh,kwahiyo JPM anawadanganya wadanganyika kuwa aliwashinda marais wenzake kwenye uenyekiti wa SADC?Uenyekiti wa jumuia ya sadc si wa kuchaguliwa, ni wa zamu. Ukikufikia unapokea kijiti. Mwakilishi hana maamuzi mpaka awasiliane na aliemtuma. Mikutano ina ngazi za wahusika. Kukacha kwenda na kutuma wajumbe kuna tatizo, na hasa yanapokuwa ni mazoea.