Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Hizo mil 50 ulkuwa unataka kuzifanyia nini? Maana ndo imekuwa nongwa kama vile kwenye hivyo vijiji hakuna kilichofanyika zaidi ya hiyo mil 50.
Ahadi ni deni Mkuu wangu ,pia unapokuwa na Kiongozi muongo na asie timiza au kutembea ktk aliyo yasema wazi wazi bila ya kushurutishwa basi hafai kuwa kiongozi kabisa.
Tutaanzaje kumuamini tena sasa kwa Ahadi zake za sasa ?