Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
attachment.php

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.

W.jpe
 
Ngoja nifatilie vitafunwa na bites zilizowekwa kwa waheshimiwa wenye kazi.
 
Hili baraza feki mbona wazanzibar hawapo?


Swissme
 
Wanajadiri ya tanganyika au ya Muungano.Kama niyamuungano hawana uharali.
 
Ngoja awape Mikakati ole wake atakayekiuka, chezea TingaTinga
 
Hicho kiti kitupu kushoto kwa Magufuli kimeachwa kwaajili ya nani kwa mujibu wa Protokali? Maana kama ni Sefue namuona kulia kule.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom