Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

attachment.php

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.

Mungu akulinde na akuongoze uweze kutuongoza vema zaidi Rais wangu na Rais wetu kipenzi John Pombe Joseph Magufuli unayelipenda na kulijali Taifa lako lililokua limenyonywa kupita kiasi. ...usisahau mikataba ya madini na Gesi kuipitia ili itunufaishe watanzania wote madini mengi sana yanatoroshwa kwenda south Afrca na maeneo mengneyo ndege znaruka drect toka porin...na kinachoandkwa kwenye document si ata robo ya knachotoroshwa mpaka makaburu na wazungu baadhi wanatushangaa kwenye mazungumzo ya kawaida kwa jinsi wanasiasa na wafanyabiashara wetu walivyopoteza uzalendo..Again Mungu akubariki Rais wangu na Rais wetu kipenzi mheshimiwa Dr.John Pombe Magufuli
 
Tukidhibiti Bandarini. ..TRA...na Kwenye Migodi I. E GEITA GOLD MINING. ..TANZANITE ONE...ACCACIA/BARICK..KILIMANJARO MINING..na VITALU VYA GESI NA MAFUTA (GESI IMEANZA KUUZWA SIKU NYINGI SANA)etc nchi hii itakua tajiri kama South Africa am telling you
 
ngoja nifatilie vitafunwa na bites zilizowekwa kwa waheshimiwa wenye kazi.

kikombe 1 cha chai ya tintedi na vitumbua 2 chezea magufuli weye. Baba rizi moko alikua mzee wa matanuzi. Huyu hapa kazitu!
 
Baada ya Kuhusishwa na ukwepaji kodi....naona juice na maji yake yamepigwa chini...sasa ni mwendo wa Kilimanjaro Drinking Water 500 ml.
 
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.

Hapana Mkuu tuombe radhi tunaomfahamu! Hayupo huyo unayemsema ni Mwigulu! Shein alipaswa kukaa kushoto kwa Magufuli! Naona wshaanza kuelewa somo!
 
Hiki siyo kikao bali ni mkutano wa baraza la mawaziri! Kikao cha baraza la mawaziri manaibu huwa hawashiriki kwenye kikao cha baraza!
 
Back
Top Bottom