ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.
No atakuwa bwn Madelu sio Shein
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.
Hicho kiti cha wazi cha nani? Cha Shein?
Wanajadiri ya tanganyika au ya Muungano.Kama niyamuungano hawana uharali.
nchi ya mazingaombe hi
Hicho kiti cha wazi cha nani? Cha Shein?
Mkuu usiwe mbishi kwa vitu vilivyowazi. Kikatiba Rais wa Zanzibar ni member wa cabinet by virtue of his position.
Mkuuu! Yaani wewe ni mchokozi alietukuka:A S wink:hawana uharali ndio ila wana uhalali.
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.
Enzi zile za Soviet Union, za akina Brezhnev na wengine ukiona kiti kiko wazi ujue tayari huyo mjumbe wa CC ameshang'olewa. Lakini kwa hili la kwetu hali ni tofauti kabisa.........Pengine ni cha miongoni mwa mawaziri ambao hawajateuliwa au pengine cha katibu wa baraza ambaye for few minutes labda hayupo yuko chumba cha karibu anafuatilia document (s) au pengine......
Hicho kiti kitupu kushoto kwa Magufuli kimeachwa kwaajili ya nani kwa mujibu wa Protokali? Maana kama ni Sefue namuona kulia kule.
BACK TANGANYIKA