Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Tuibie japo ajenda za kikao mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la zenji ni fedha za MCC hizo ngoja tuoneWamempotezea, huoni hata kiti chake kiko empty? CCM zenji kwao ni kata tu haiwapi shida
Ndo mana maalim atakuwa mwiba???Vikao vya kabinet huwa ni siri mdau
Hili baraza feki mbona wazanzibar hawapo?
Swissme
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.
Mkuu usiwe mbishi kwa vitu vilivyowazi. Kikatiba Rais wa Zanzibar ni member wa cabinet by virtue of his position.Huu ni Uongo wa kufungia mwaka .
Sina la kuongeza tena tunasubiri matokeo ya utendaji wake yafikie kwa mwananchi WA kawaida, nimefurahishwa kwa nidhamu ya utumishi kurudi baada ya miongo kadhaa kupita
Vikao vya kabinet huwa ni siri mdau
Hicho kiti kitupu kushoto kwa Magufuli kimeachwa kwaajili ya nani kwa mujibu wa Protokali? Maana kama ni Sefue namuona kulia kule.
BACK TANGANYIKA
Hili baraza feki mbona wazanzibar hawapo?
Swissme