Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam


Na Rais wa Zanzibar yumo? Maana na yeye ni sehemu ya Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa Ibara ya 54 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayosema: "Kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambalo wajumbe wake watakuwa ni Makamu wa Rais,Waziri Mkuu, Rais wa Zanziba na Mawaziri wote." Ibara ya 54(2): "Rais atahudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri na ndiye atakayeongoza mikutano hiyo. Na endapo Rais hayupo basi mikutano itaongozwa na Makamu wa Rais na kama wote wawili Rais na Makamu wa Rais hawapo Waziri Mkuu ndiye ataongoza Mikutano hiyo."
 
Hicho kiti kitupu kushoto kwa Magufuli kimeachwa kwaajili ya nani kwa mujibu wa Protokali? Maana kama ni Sefue namuona kulia kule.

BACK TANGANYIKA

Mheshimiwa Huwa Anapiga Apa Kati Na Za Chembe Pamoja Na Nakoz Kwa Kutumia Mashoto Hivyo Hicho Kiti Hapo Kimeachwa Kwa Makusudi Ili Akianza Kutembeza Kichapo Aanza Na Huyo Kiongozi Mkuu Wa Mawaziri Aliyekaa Kushoto Kwako. Kwani Mkuu Si Hata Wewe Unamwona Waziri Mkuu Hapo Alivyokaa Kimachalemachale Kama Siyo Kimagutumagutu? Hivyo Hiyo Ni Protocal Ya Standby Kula Kichapo Kwa Waliozingua Kwa Muda Huu Mfupi Tu Alivyowateua.
 
Hapana mkuu,

Kiprotokali Shein anahudhulia kama Waziri wa kawaida tu. Hawezi kuwa ubavuni mwa Rais na akafuatiwa na Waziri mkuu... Haiwezekani.!!

BACK TANGANYIKA
Mkuu huo ndiyo ukweli sasa hicho kiti ni kiti cha Rais wa zanzibar.
 
Sina la kuongeza tena tunasubiri matokeo ya utendaji wake yafikie kwa mwananchi WA kawaida, nimefurahishwa kwa nidhamu ya utumishi kurudi baada ya miongo kadhaa kupita
 

Hahahahahhhh weweeee......

You made ma day, ila kama kuna ka ukweli flani hivi. Maana huyo jamaa akikukata jicho tu waweza tamani ardhi ifunuke utumbukie

BACK TANGANYIKA
 
Hicho kiti kitupu kushoto kwa Magufuli kimeachwa kwaajili ya nani kwa mujibu wa Protokali? Maana kama ni Sefue namuona kulia kule.

BACK TANGANYIKA
Ni kwa ajili ya kinanaaaa. Mwakilishi maalum wa sera-CCM kwenye baraza la mawaziri.
 
Wanajadiri ya tanganyika au ya Muungano.Kama niyamuungano hawana uharali.

Naona ajenda kuu ni hili tamko la Bodi ya MCC


na kauli ya KMK siku za karibuni kuwa suala la ZNZ litapatiwa ufumbuzi kabla ya Bodi hiyo kukutana;
 
Namwona kama Shein pale baada ya Dr Mwinyi...
Anatia aibu sana huyu baba.

Rais wa Zanzibar ni mjumbe wa baraza la mawaziri la serikali ya jamhuri ya mungano, sasa huyo baba yako aone aibu ya nini? Wakati mwingine tumieni vichwa vyenu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…