Rais Dkt. Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar es Salaam

Hivi kwenye hivi vikao Shein anawakilishwa na kiti?
 
Aisee, eti hii ndo Jamhuri ya Muungano kweli??????????????????????????? Hakika ni Jamhuri ya watu wa Tanganika.
 
Hongera mh magufuli,chapa kazi baba tunakufagilia
 
Hili baraza feki mbona wazanzibar hawapo?


Swissme

Yupo Dr. Hussein Mwinyi na Prof.Mbarawa. Cha kushangaza Mbarawa amepewa wizara ya maji na umwagiliaji jambo linalohusu Tanganyika tu.
 
naona kiti cha maalim seif kipo wazi pale....
 
Sina la kuongeza tena tunasubiri matokeo ya utendaji wake yafikie kwa mwananchi WA kawaida, nimefurahishwa kwa nidhamu ya utumishi kurudi baada ya miongo kadhaa kupita

Mwambieni rais NAULI ZA DALADALA ZIMEPANDA BILA UMMA KUTANGAZIWA
 

Attachments

  • 1450436180583.jpg
    40.7 KB · Views: 429
Dr Shein kiti chake kiko wazi, Rais Magufuli walimalize hili maana ni Doa kwa sasa
 
Utapeli tu huo mbona wazanzibar hawapo na je hiyo sio kuvunja sheria na kuwadharau wazanzibar na kuwaona sio.mpeni cuf nchi yao

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…