Mzee_Wa_Conspiracy
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 667
- 352
China ni washiriki wetu kihistoria hivyo ni sahihi kwake kwenda huko, isitoshe China hawana tabia ya kuingilia mambo yako ya ndani kama walivyo wa magharibi. Sijui haki za binadamu mara ushoga sijui nini
Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Sasa JPM ameibuliwa na nani kama sio JK? Amemkata Lowasa angeshindwaje kwa Magufuli kumkata akamuweka Membe?JK alimtaka uyo wa kwenye avatar yako!hakua na uweledi wa kumuibua JPM,husu ni faida ya vita panzi tu,Mungu alishapanga aje mtu makini manake Jk alishafanya ikulu shamba la bibi!sijui anajionaje akiwa msoga jinsi jamaa anavyopambana na wale aliokua anawalinda kwa hali na mali.Ritz moja naye hasikiki kabisa saivi,jpm noma sana japo inshu ya zenji kaboronga na itamcost kwy legacy yake
Usinilazimishe nikudharau kama Mh.Jussa Ladhu alivyomdharau Mpanju.Ziara pekee ninazoweza kuzihesabu kama ziara zenye tija kwangu ni zile zilizofanywa na Mwl.Nyerere(R.I.P)za kwenda Uingereza "kufuatilia Uhuru wa Tanganyika".
Zaidi ya hapo sioni cha Maana toka kwa hao unaowaabudu.Kama ni suala la uwekezaji,hakuna uwekezaji wowote uliowahi kufanywa na mgeni ukaleta tija kwa Taifa letu.Uwekezaji unaokomba Rasilimali zetu huku Taifa likiambulia Mlabaha wa 3% kwangu mimi sioni kama ni jambo la kujivunia kiasi cha kupongeza ziara za ng'ambo.
Iko wapi mikataba 17 iliyisainiwa Ikulu baina ya Uchina na Tanzania? Imeleta tija gani kwa Taifa letu? Wachina hao unaowashabikia ndiyo walioligeuza Taifa letu kuwa " dampo"la kutupia kila aina ya bidhaa feki toka uchina kwa kisingizio cha kukuza biashara kati yetu.Leo hii hadi baadhi ya member wa jf wapo hatarini kutoweka jukwaani kwa sababu ya kutumia "vifaa feki" vya kichina.
Sijaona mchango wa maana ulioletwa na Uchina,zaidi sana Wachina ndiyo wanaonufaika na kandarasi za miradi mbalimbali ya Maendeleo ambayo inafadhiliwa na Mataifa mengine,Wachina wanatajirika zaidi toka kwetu kuliko sisi tunavyopokea toka kwao.
Wachina nao wameanza kuiga uchawi wa wazungu wa tunuku, toa msaada, saini mikataba. Sasa jamani JPM kaingia juzi anatunukiwa nini tena?Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Wachina nao wameanza kuiga uchawi wa wazungu wa tunuku, toa msaada, saini mikataba. Sasa jamani JPM kaingia juzi anatunukiwa nini tena?Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Wachina nao wameanza kuiga uchawi wa wazungu wa tunuku, toa msaada, saini mikataba. Sasa jamani JPM kaingia juzi anatunukiwa nini tena kama si yale yale ya kutaka kumchanganya kumchanganya na matuzo, manishani, mashahadaKwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Anaenda kuiuza TZ
Hakuna nchi ya kijamaa yenye mafisadi mapapa hata sio majipu bali wengine wanastahili kuitwa MABUSHATanzania ni nchi ya kijamaa kumbe?
Bado mnatamani pesa za MCC ila kujikaza kisabuni mpaka sasaok,.. naona ile MCC kutunyima hela wachina wataziba pengo.
Kwa taarifa yako hata Wamarekani wenyewe wanatumia bidhaa za kichina. Uchaguzi ni wako mwenyewe ukitaka fake utapata fake na ukitaka genuine ndio utakayopata kutoka chinaAkishapewa shahada ya heshima ya kichina, basi tena, atakuwa fake kama bidhaa za kichina. Yale yale
Mkuu hebu jaribu kusema " nchi yetu ina kilakitu hatutaki hiyo misaada ya MCC' huku umebana pua na kuangalia juu kidogo halafu nipe majibuCCM wamebadilishia gia angani awamu hii bakuli haliendi tena kwa wazungu linaenda kwa wachina, sijui watatuambia ni msaada au zawadi?! maajabu hayaishi nchi hii.
Hilo ndilo muhimu ingawa upo wasi wasi mkubwa juu ya mikataba ya viongozi wetu kupelekwa bungeni kwani sio utaratibu wa chama chao.Hatuna hofu kubwa kuwa raisi Magufuli kuweza kuingia mikataba ya kifisadi ila ni wakati sasa wananchi kufahamishwa kupitia bunge lao mikataba yote ya kimataifa inayoingiwa na serikali yao.Inatia shaka na hofu kubwa pale raisi anapoingia mikataba zaidi ya ishirini mara moja na yote kuwekwa siri kwa wananchi.Tutakuja kustuka nchi imewekwa rehani.Tulimsikia akiwa Rwanda kuwa hotuba aliyoitoa huko kwa lugha ya kiingereza ingekuwa ya mwisho vinginevyo zitakazofuata zitakuwa kwa lugha ya taifa letu yaani kiswahili.Kwangu naunga mkono uamuzi huo.Nasema aende ila ajihesabie na siku za kuwepo huko zisiwe nyingi na msafara usiwe mkubwa.Tunataka mikataba ya uwazi na ipelekwe Bungeni