Rais Dkt. Magufuli tuko katika Majonzi makubwa, lakini Kocha wa Yanga ametutukana Watanzania wote. Akamatwe upesi


Na niiombe tu Serikali hii ya Rais Dkt. Magufuli na Vyombo vyake wasipomkamata huyu ' Mpumbavu ' Sisi wengine tutajua tu jinsi ya Kumnyoosha.
 
Kweli wewe hujijui na hujitambui kabisa
 
" kuidhalilisha Tanzania NA HADI sisi Watanzania" FaizaFoxy njoo umfundishe Kiswahili fasaha huyu Jamaa kutoka mkoani..
 
Tafadhali nakuomba wenye Akili tunapokuwa tunajadili Jambo ' Serious ' na ' Sensitive ' hapa huu ' Ushoga ' wako peleka kwa anayekukaza sawa?
Mzukulu una kiherehere na mambo yasiyokuhusu, utakuja kubikiriwa
 
Kuhusu viwanja vya mpira Tz mi namuunga mkono ni vibovu kupita kiasi. Hayo mengine simuungi mkono akamatwe haraka.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 

Mkuu jina la ' ID ' yake tu linatosha kukupa ' Uhalisia ' wake mzima ulivyo hasa katika Bichwa lake Kubwa kama Spare Tyre ya Malori ya Migodini.
 
Walikosea hao Yanga walioshindwa kumpa uhalisia wa huku.
Ilitakiwa wamwambie Tz sio EU unapoweza kujiachia kutukana tu unapotaka na adhabu yenyewe wanakupa umalize juisi ya mo chungwa saa moja.
Kama kasema hayo kweli naweka maiki pembeni tuangalie movie hii Kali.
 
Hili ndio jibu lake.........kama aliyajua hayo mbona kareta mku*** wake hapa bongo..........au kamfata bahasha ..........?? Akuona timu kama manchester uko au liverpool au barc au arsenal?? Kama wachezaji ni wajinga na hawajui mpira si angeenda kwa kina Messi na ronaldo .......kilicho mreta uku ni nini kama sio kuwashwa mk*** u tena hadharani......huyu dawa yake kumpa madole uku mnamsindikiza airport mpaka apande ndege ndio atajua kuwa mafuta ya taa tunakunywa kama chai ........
 
Sijasikiliza kama kasema ni ukweli [emoji817] percent
 
We umejifungia ndani mzee? Tuache wazalendo tuendelee Jenga nchi
 
yupo sahihi hapo kwenye 1,2, 5 na 7.

so, kwa kutumia hii scale yako, score ya huyu kocha ni 4/7 = 57%.
hii ni B, amefaulu. tujirekebishe Watz!
 
Huyo Kocha yuko sahihi 100% ukweli unauma


Covid 19 ipo na inaua..... Ipime Serikali ya Tz kuanzia hapo, ndipo utamuelewa Kocha.... [emoji56][emoji48][emoji48]
 
Napata ukakasi na source ya audio clip ya wasafi! nmesikiliza radio zote kocha anawasifu mashabiki, isije ikawa wametulisha matango pori!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…