Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji17][emoji17][emoji17] ... kuanzia leo kwangu mimi Maalim Seif hana tofauti na Lipumba na ACT haina tofauti na CUF au NCCRView attachment 1643490
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba “Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi zake utafanywa katika utaratibu utakaohakikisha kuendelezwa kwa umoja nchini na lengo la kufikia demokrasia”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 6 Disemba,2020
View attachment 1643495
Tunawapa pole sana. Inabidi tujikite kwenye kutengeneza mazingira ya kuleta amani badala ya kuendekeza chuki ambazo zinaweza kusababisha maumivu au hata vifo kwa watu wengi zaidi.Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Hatua hii ni kufuatia taarifa hiiView attachment 1643490
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba “Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi zake utafanywa katika utaratibu utakaohakikisha kuendelezwa kwa umoja nchini na lengo la kufikia demokrasia”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 6 Disemba,2020
View attachment 1643495
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.Kamati kuu ya chama chetu imeazimia kwamba, wawakilishi wachache kwa maana ya madiwani, wajumbe wa baraza la wawakilishi na wabunge ambao wametangazwa kushinda waruhusiwe kushiriki kwenye vyombo vyao vya uwakilishi ili waendeleze mapambano kwenye vyombo hivyo.
Ni muhimu ieleweke kwamba, kamati kuu imefikia uamuzi huu sio kwamba tunaufurahia, kamati kuu ilikuwa kwenye njia panda ya kuchagua njia moja kati ya njia mbili. Ilikuwa ni kuchagua ama uamuzi mbaya, ama uamuzi mbaya zaidi.
Haikuwa chagua baina ya uamuzi mzuri sana na uamuzi mbaya, hilo ni muhimu sana lieleweke. Kwa hiyo tumechagua njia mbayo tumeona ina nafuu.
Pili, kamati kuu ya chama chetu kwa kuzingatia ibara ya 9(3) ya katiba ya Zanzibar imeridhia chama kushiriki kwenye serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar na imeielekeza kamati ya uongozi ya chama chetu kupendekeza jina la mwanachama ataekuwa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar na muhimu ieleweke katika kuhitimisha, kamati kuu ya chama chetu imefikia maamuzi haya baada ya kufanya tafakuri ya kina.
Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.View attachment 1643490
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020.
=====
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984,kinachosema kwamba “Muundo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar utakuwa na Umoja wa Kitaifa na utendaji wa kazi zake utafanywa katika utaratibu utakaohakikisha kuendelezwa kwa umoja nchini na lengo la kufikia demokrasia”.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Mheshimiwa Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 6 Disemba,2020
View attachment 1643495
Baada ya kukosa uteuzi Bara, Mayalla anajaribu visiwani ateuliwe hata kuongoza Shehia mradi mkono uende kinywani.Huu sasa ndio uamuzi wa busara, sio kususa tuu bila mpango.
Asiyekubali kushindwa sio mshindani, if you can't get what you want, just take what you get!, and if you can't beat them, join them!.
Hatimaye ACT Wazalendo sasa wamekubali matokeo, sio tuu watapokea kidogo walichopata, bali pia wata wa join them kwenye kuunda SUK.
Wana jf, tujifunze kuukubali ukweli jinsi ulivyo, hakuna mkate mgumu mbele ya chai!. Maalim Seif at 77, has everything to gain and nothing to lose.
Hongera Dr. Mwinyi kwa uteuzi huu.
Hongera Maalim Seif kwa kuitanguliza mbele Zanzibar.
Hongera sana ACT Wazalendo for doing the right thing na sasa hizi ndio siasa za kweli za maendeleo, na sio kususa susa bila manufaa yoyote.
P
Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Na wao sasa hivi siwaamini sana! Ngoja tuone hizi nafasi 19 wanazifanyaje? Wakitoboza mpaka 2025 bila kushirikiana na wezi nitapiga kura, kinyume na hapo sitapiga kura tena!Hapo ndo nasema chama cha upinzani tanzania ni chadema tuuuu
Hahaha nakushangaa wewe Leo kukuona pande hizi. Rudi kulekule, huku kichwa kitakuuma bure mdogo wangu😄😄
Mimi huku kichwa hakiniumi maana nawaangalia tu jinsi mnavyoweweseka na wapinzani wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha nakushangaa wewe Leo kukuona pande hizi. Rudi kulekule, huku kichwa kitakuuma bure mdogo wangu[emoji1][emoji1]
Ndio wnajifunza hivyo. Siku nyingine hawakimbilii kusapoti wanasiasa.Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Kumbe Zitto ndo kampitisha Maalim[emoji41]Zitto hongera - mwaka 2015 ulimpitisha Anna Mughwila kuwa RC Kilimanjaro, sasa Maalim Seif kuwa Makamu wa Rais - si kazi ndogo - heko
Hataumri wa kupiga kura hujafika alafu unasema siasa wazijua weye?😂😂Nazijua sana
Zi zile zile mlizomchukua Lowasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu bado mnataka tuwaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Unasemaje ati??[emoji1787]Hataumri wa kupiga kura hujafika alafu unasema siasa wazijua weye?[emoji23][emoji23]