Mimi siyo mwanasiasa na wala sina interest na majukumu ya kisiasa, ila ninajua kuona ukweli. Wakati wa mgogoro baina ya Zitto na Chadema, katibu mkuu alikuwa Slaa, na nadhani unajua jinsi alivyoshughulikia mgogoro ule.Uko sahihi kabisa boss, sasa fanya hivi, hebu anzisha chama chako tuje tuone utendaji bora. Au ni mambo ya motivational speaker?
Mkuu ukiona hivyo basi jua wananchi wanaoana fresh tu kwao mambo swafi. Siku wakichoka hawatahitaji hata kuambiwa wataingia wenyewe barabarani kulianzisha. Kwasasa kama wanakula bata basi jua muda bado. Wakati na majiraWanasiasa wana mahitaji yao.
Na sisi wananchi tuna mahitaji yetu.
Ila sasa sisi wananchi tumewatelekeza wanasiasa, wameamua kufanya yao.
Maana sisi pia tuko busy kufanya yetu, ukiachana kubwabwajaaaa tu hakuna jipya tunafanya.
Lissu nusra auawe, Mdude yuko Jela, Mawazo hatunaye, Mange anaogopa kuja.
Sisi tuko busy kula bata na kuwapa pesa na kuwapigania celebrities kwenye mishow ya Wasanii wasio na mchango wowote wa mageuzi.
Wabongo akili zetu tunazijua wenyewe, tunapenda kupewa vitu vizuri tukiwa tumekaa na kustarehe yaani.
Anyway,
Nadhani sasa ni kuisoma namba kikamilifu ili kila mtu sasa atoke ndani,lugha iwe moja!
Sasa mbona wana mtenge Mzee wa Miga au yeye sio mbongoLipumba na Maalim seifu wote walienda ikulu kuonana na Jiwe,sasa unafikiri Lipumba ndio atakuwa kaachwa hivihivi?
Munjombe umemaliza kila kitu😁😁😁😁Jambo moja hua tunasahau ni kua wananchi tuna maslahi yetu na wanasiasa wanamasilahi yao.Huku nje tunaweza chaniana mashati lakini wao wanakunywa mvinyo pamoja.Sudan Kusini wamepigana weeee mwisho Machar ameenda kunywa mvinyo kir.
Mwisho wa siku kunakitu hua kinaitwa 'AGENDA'hii hufichwa na wanasisa wote kwa wananchi.Pale tunapoachana wengine wanakunania hapo hapo. 🙂 🙂 🙂 🙂 🙂
Lipumba na Maalim seifu wote walienda ikulu kuonana na Jiwe,sasa unafikiri Lipumba ndio atakuwa kaachwa hivihivi?
Mama D, hatimaye hao mmewanasa, ccm mna sumaku KWA wapenda mabadiliko wanatakiwa kujiadhali Sana hata KWA kuwasogeleni, mnasumaku sio ya dunia hii Yani mtu anashutuka yuko kwenye kumi nane zenu, bila kujitambua,Pongezi kwa CCM kwa ukomavu wa kisiasa, hongera ACT kwa kukubali kwamba maendeleo hayana chama.
Tuliwaasa sana ndugu zetu kwamba hakuna upinzani Tanzania ila kuna wachumia tumbo na vibaraka wakatukatalia, ila nadhani sasa wataelewa.
Mungu ibariki Tanzania
Wale ambao ndugu zao wameuwawa sijui wanajisikiaje.
Wanasiasa nimewavulia kofia leo! Siku nyingine mkipigana siamulii. Nitakamata jembe na kuelekea shambani. Ningefanya hili wakati wa kampeni, leo hii labda ningekuwa navuna.
🤣🤣🤣🤣🤣Hata ufiche kidonda vipi nzi hafi njaa😆😆
Mungu ambariki Maalim Seif na ACTkila la heri
Ni kweli ww sio mwanasiasa wala huna interest na majukumu ya siasa, lakini utakuta ulikuwa au ni muajiriwa ambaye toka umeingia mpaka umetoka haujawahi kuleta mabadiliko yoyote ya maana kwenye taasisi uliyopo.Mimi siyo mwanasiasa na wala sina interest na majukumu ya kisiasa, ila ninajua kuona ukweli. Wakati wa mgogoro baina ya Zitto na Chadema, katibu mkuu alikuwa Slaa, na nadhani unajua jinsi alivyoshughulikia mgogoro ule.
Nafikiri kuna kitu ACT wazalendo wamefikiri. Ni vigumu kupambana na adui ukiwa nje ya mfumo kwani hata wanamapinduzi walikuwa ndani ya mfumo, ebu tumwacha Maalim Seifu, tutamuelewa baadae.
Mie kama mzanzibari naungana na ACT na uongozi wake kushiriki serekalini. Nadhani kama ukiniuliza mimi nachukulia kususa ni sawa na suicide, hata 2015 uchaguzi uliorejewa wakati ule CUF wangeshiriki tuu uchaguzi huo wa Jecha na kushiriki SUK....