Bemendazole
JF-Expert Member
- Nov 14, 2020
- 2,649
- 6,680
Waswahili wanasema 'No smoking' maana yake ni kuwa 'there is no small king'!AU WAKULUNGWA MNAONAJE
Nafasi aliyo nayo sasa ni nafasi kubwa tu! Majukumu yake ni 'sawa tu' na majukumu ya rais wa JMT, Marekani na nchi nyingine. Ukubwa au udogo wa gari haubadilishi majukumu ya dereva. Anayeendesha kirikuu ana majukumu sawa na anaye endesha Fuso.