Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania
SALAAM WAKUU.

Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.

AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Yaani Mataga mnakazi kweli,

ukoo wenu wote mnajiona takataka Hakuna hata mmoja anaefaa,Hadi uwapigie debe wanaume wenzio?
 
SALAAM WAKUU.

Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.

AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Ni zamu ya mkristo

USSR
 
Licha ya kuwa raisi , Hfai hata kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM.
Amefeli ZNZ apema sana
Ameacha Miradi na mipango Mikubwa kama Bandari, Uvuvi na na Kuchimba Mafuta na Gesi inayoweza kuondoa nchi kwenye umasikini na kuongeza ajira kwa Taifa badlayake anashughulika kujenga Masoko ya Pili pilina Mbatata.
Huyu ni mwehu sana na amefeli miserably.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mmeifanya hii nchi ya ukoo wenu.

#MaendeleoHayanaChama
Ni rare advantage kuwa na ukoo ambao una sifa za uongozi. Kwa hiyo ni upendelleo wa kipekee muno kujikuta kwenye nchi fulani muna ukoo ambao una sifaza uongoz. Watu ni wengi, binadamu si wengi kama walivyo watu
Mara nyingi Mungu huwa amawapa uongozi binadamu ila si watu
 
Licha ya kuwa raisi , Hfai hata kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM.
Amefeli ZNZ apema sana
Ameacha Miradi na mipango Mikubwa kama Bandari, Uvuvi na na Kuchimba Mafuta na Gesi inayoweza kuondoa nchi kwenye umasikini na kuongeza ajira kwa Taifa badlayake anashughulika kujenga Masoko ya Pili pilina Mbatata.
Huyu ni mwehu sana na amefeli miserably.
Zanzibar ungekuwa unaishi pekeako ungedanganya kirahisi; ila nasi tupo huko! Una maanisha nini kusema "ameacha miradi mikubwa kama bandari, uvuvi na kuchimba mafuta n gesi," wakati hivyo vitu ndiyo vinafanyika kwa kasi? Umeandika hisia za chuki siyo FACTS! Badilika.🙏🙏🙏
 
Zanzibar ungekuwa unaishi pekeako ungedanganya kirahisi; ila nasi tupo huko! Una maanisha nini kusema "ameacha miradi mikubwa kama bandari, uvuvi na khchimba mafuta n gesi," wakati hivyo vitu ndiyo vinafanyika kwa kasi? Umeandika hisia za chuki siyo FACTS! Badilika.🙏🙏🙏

Chuki gani? Kwani uongo? Hivi ni bandari ipi inajengwa hivi sasa?
 
Back
Top Bottom