Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Licha ya kuwa raisi , Hfai hata kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM.SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
umesahau na kuuza visiwa , labda atawasaidia kuuza visiwa vya TanganyikaLicha ya kuwa raisi , Hfai hata kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM.
Amefeli ZNZ apema sana
Ameacha Miradi na mipango Mikubwa kama Bandari, Uvuvi na na Kuchimba Mafuta na Gesi inayoweza kuondoa nchi kwenye umasikini na kuongeza ajira kwa Taifa badlayake anashughulika kujenga Masoko ya Pili pilina Mbatata.
Huyu ni mwehu sana na amefeli miserably.
SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Uongozi mnapeana chumbani.SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Tupate KATIBA mpya kwanza,Maana Kwa Katiba hii iliyopo Hata ukimtelemsha MALAIKA, akikalia tu kile KITI anakuwa...........,..SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Kwahiyo bara hakuna watu wenye sifa mpaka tuongozwe na wazanzibar pekee?SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?
Huyo ni mzanzibarNdicho mmekubaliana huko ccm
Anakuwa kama kichaaTupate KATIBA mpya kwanza,Maana Kwa Katiba hii iliyopo Hata ukimtelemsha MALAIKA, akikalia tu kile KITI anakuwa...........,..
Mwinyi si mzanzibari ni kijana wa Mkuranga, Kwa mujibu wa Katiba na Sheria za uchaguzi hafai kuongoza zanzibar. Amewekwa kwa mabavu na Magufuli baada ya kuuwa na kutesa watu na kutia vilema watuKwahiyo bara hakuna watu wenye sifa mpaka tuongozwe na wazanzibar pekee?
Na baba ake aliwekwa kwa nguvu?Mwinyi si mzanzibari ni kijana wa Mkuranga, Kwa mujibu wa Katiba na Sheria za uchaguzi hafai kuongoza zanzibar. Amewekwa kwa mabavu na Magufuli baada ya kuuwa na kutesa watu na kutia vilema watu
Huyo ni mzanzibar
Kwamba serikali ya Zanzibar in uwezo wa kuwekeza kwenye mafuta na gesi!?Licha ya kuwa raisi , Hfai hata kuwa Mkuu wa mkoa wa DSM.
Amefeli ZNZ apema sana
Ameacha Miradi na mipango Mikubwa kama Bandari, Uvuvi na na Kuchimba Mafuta na Gesi inayoweza kuondoa nchi kwenye umasikini na kuongeza ajira kwa Taifa badlayake anashughulika kujenga Masoko ya Pili pilina Mbatata.
Huyu ni mwehu sana na amefeli miserably.
Wazanzibar wanaitafuna nchi wapendavyoAhaa ndio maana
Mzanzibar ni yupi!?..baba yake si mzanzibar!?Mwinyi si mzanzibari ni kijana wa Mkuranga, Kwa mujibu wa Katiba na Sheria za uchaguzi hafai kuongoza zanzibar. Amewekwa kwa mabavu na Magufuli baada ya kuuwa na kutesa watu na kutia vilema watu
SALAAM WAKUU.
Kwa jinsi bw: HUSSEIN ALLY MWINYI anavyoiongoza ZANZIBAR naona anafaa kabisa kuiongoza TANZANIA baada ya mama SAMIA.
AU WAKULUNGWA MNAONAJE?