AU WAKULUNGWA MNAONAJE
Waswahili wanasema 'No smoking' maana yake ni kuwa 'there is no small king'!
Nafasi aliyo nayo sasa ni nafasi kubwa tu! Majukumu yake ni 'sawa tu' na majukumu ya rais wa JMT, Marekani na nchi nyingine. Ukubwa au udogo wa gari haubadilishi majukumu ya dereva. Anayeendesha kirikuu ana majukumu sawa na anaye endesha Fuso.
 
Kama Wananchi wangekuwa wanachagua wenyewe Rais wanayemtaka sidhani kama wangemchagua kuwa Rais! Lakini kwa kuwa Wananchi wanachaguliwa Rais na Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa kweli anafaa kuwa Rais baada ya Mama!
 
Nitajie mahali gani ya hizo sehemu ulizotaja inakoongewa lugha ya kimakunduchi, kitumbatu, kikojani,kiuyu,?
Ili iweje!!?..kivipi mtu mwanzo wake uwe kisiwani!?...yaani Adam na Hawa walishushwa kisiwani!?..unadhani mtu alitoka kisiwani akaenda bara,wakazaliana wakawa wengi au walitoka bara wakaenda visiwani!?..hili nalo kunahitaji PhD!?
 
Una akili sana mkuu
 
Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
 
Hilo nakuachia wewe kujua lugha inazaliwaje
Sijakuuliza kuzaliwa kwa lugha ,jifunze kusoma unachoulizwa ,usirukeruke,

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
 
Sijakuuliza kuzaliwa kwa lugha ,jifunze kusoma unachoulizwa ,usirukeruke,

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
Hizo lugha kitumbatu,kojani nk zimezaliwa lini!?
 
Hizo lugha kitumbatu,kojani nk zimezaliwa lini!?
Sijakuuliza zimezaliwa lini. Kiswahili kinakupiga chenga?

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
 
Sijakuuliza zimezaliwa lini. Kiswahili kinakupiga chenga?

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
Tatizo lako u mpumbavu,uneng'ang'ana na hoja yako bila tafakuri juu ya unachoambiwa na mwenzio..ndiyo maana nilitaka ufikiri nanna gani lugha huzaliwa,nikidhani una elimu ya kujua lugha huzaliwa vipi,unadhani kitumbatu chako kilishuka toka mbinguni Kama taurati!?...ikiwa kiswahili Kuna kibantu,kiarabu,kizungu,kijerumani,kichina,kifarsi nk..unadhani kikojani kilishuka tu!?
 
Mimi ni mpumbavu , wewe mwenye akili jibu swali unaloulizwa,

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
 
Mimi ni mpumbavu , wewe mwenye akili jibu swali unaloulizwa,

Hujajibu swali?

Watu gani ,hizo nchi ulizozitaja wanaongea Kitumbatu, Kikojani, Kimakunduchi, Ki Kiuyu?
Mumetoka kwenye Hoja ya msingi
Mwinyi hafai kuwa raisi wa Tanzania,kama vile asivyofaa Huku Zanzibar,
Amefeli mapema Mno.
Raisi asiyeleta mambo makuu ya kuleta nafuu katika Uchumi wa watu wa Zanzibar, Hatufai
Salimini pamoja na Ubaya wake wa kuwabagua wapemba na Unguja, lakini alileta mageuzi makubwa ya Kiuchumi.
Dr.Sheni alikuwa moga sana kuwaogopa tanganyika dhidi ya maslahi ya Zanzibar, Lakini angalau Alijinge Mashule Mingi sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…