Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuunganishiwa umeme inatakiwa iwe bure ,haina tofauti na unapompa msamaha muwekezaji ukijua atatoa ajira na wewe utakusanya kodi kutoka kwake.Hayo makato ya luku yanachukua miaka mingapi kutosha kulipia nguzo moja ya umeme?? Je nguzo ina life time ya miaka mingapi??
Hayo makato yanachangiaje kwenye bei ya transfoma?? Mafuta ya transfoma?? Wire??..n.k
Na bado ukiona shoti kidogo tu unapiga emergency Tanesco..unadhani wanaweka mafuta kwenye gari na kusaga tairi kwa ileile elfu 27?? Na hapo hawajalipwa overtime!!
Tafakari kidogo
Hivi kweli ...Tanzania hii yenye watu million karibu sitini haina mtu mwingine zaidi ya Mwinyi,... mwenye uwezo wa kuwa Rais nje ya huo utaratibu wa kifalme wa kurithishana?🤔1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kima endeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.
Kuunganishiwa umeme inatakiwa iwe bure ,haina tofauti na unapompa msamaha muwekezaji ukijua atatoa ajira na wewe utakusanya kodi kutoka kwake.
Watu wameanza kuzoeshwa ufalme, saa hizi utasikia rz1 anafaa kuwa prezidaa.........Hivi kweli ...Tanzania hii yenye watu million karibu sitini haina mtu mwingine zaidi ya Mwinyi,... mwenye uwezo wa kuwa Rais nje ya huo utaratibu wa kifalme wa kurithishana?🤔
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.'Inatakiwa iwe bure'.. tuanzie hapa, hii kanuni umeitoa kitabu gani?
Ni kanuni ya kibiashara? Ni sehemu ya sheria? Au umetoa tu kichwani..??
Na kama umetoa kichwani, of which ndio ukweli, misingi yako ya kimahesabu ikoje?
Keshaukwaa uwaziri bwashee, wenyewe wakishamweka makabwela hawana zaidi ya kukubali.......Huyo ni kilaza na mwizi hawezi kuwa rais
Inasikitisha sana hii. Tatizo nadhani ni kukosekana kwa vyama vya upinzani vilivyo imara na mrengo unaoeleweka. Hii habari ya yule ni mwenzetu apewe kiti imepitwa na wakati.Watu wameanza kuzoeshwa ufalme, saa hizi utasikia rz1 anafaa kuwa prezidaa.........
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.
Hivi unajua
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo?
2. Serikali inatoa elimu bure?
3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
Hivi unajua bei ya kuunganisha umeme Rwanda? Uganda je? Wewe ni kilaza sanaYaani wewe, hapa unaongelea gharama ila unazidisha uswahili..
1.Tozo uliambiwa zitaenda kwenye umeme?
2. Kwamba elimu ikiwa bure basi vitu vingine vyote viwe bure?? Unafikiriaje wewe??
3. Kuna uhusiano gani kati ya kutoa mkopo kwa elimu ya juu na kuunganisha umeme bure??
Nyie si ndo mnauzungumzia uzanzibar..kwani Mwinyi amekuwa mtanganyika?Namkubali sana Mwinyi. Apewe Uraisi wa JMT 2025, Mama aende Zanzibar (wabadilishane)
Ni yupi unayempendekeza?Hivi kweli ...Tanzania hii yenye watu million karibu sitini haina mtu mwingine zaidi ya Mwinyi,... mwenye uwezo wa kuwa Rais nje ya huo utaratibu wa kifalme wa kurithishana?🤔
Hivi unajua bei ya kuunganisha umeme Rwanda? Uganda je? Wewe ni kilaza sana
Huna akili na bila shaka vijiji elfu 2 vilivyobaki havitaisha kupelekewa umeme.Rafiki comparison haifanywi hivyo!
Huwezi kutoka na sekta moja hapa ukalinganishe directly na sekta hiyohiyo nchi nyingine.. ukitaka hivyo, compare sekta zote na variables zote..
Kila taifa lina kipaumbele chake.. huu ni wakati ambao kuna miradi mikubwa ya maendeleo ambayo iko njiani na inahitaji fedha kuikamilisha, na mradi wa umeme ukiwemo.. subiria mradi wa umeme wa Nyerere ukamilike tuone marejesho ya fedha za mkopo yanafanyikaje ndio utafute unafuu wa gharama.
Tatizo la kuwapa vyeo wanawake ndiyo ilo wanawake uwa viburi sana tena viburi vyao havina akili1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kima endeleo ,upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24.
2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi ameshusha gharama ya kuunga umeme mpaka laki 2 tu kwa mtu ambaye hana nguzo.
Wabongo hatujuwi tunataka nini bwashehSukuma gang mmeshaanza figisu mkishirikiana na Ufipa!
Wewe kusema sina akili haina maana ya kwamba sina, ni maoni yako tu na namna ya kukimbia mjadala..kwaheriHuna akili na bila shaka vijiji elfu 2 vilivyobaki havitaisha kupelekewa umeme.
Nani kakuambia tanzania kuna bureKuunganishiwa umeme inatakiwa iwe bure ,haina tofauti na unapompa msamaha muwekezaji ukijua atatoa ajira na wewe utakusanya kodi kutoka kwake.