Wewe acha upotoshaji wa kijinga,hakuna machinga wanaofukuzwa,wanafukuzwa waende wapi? Wamachinga wanapangwa.vizuri wasiwe KERO Wala uchafu wa kuathiri shughuli zingine.
Namba 3 na 4 vimeigwa kutoka Bara.
Namba moja serikali ilishafuta au kushusha gharama za smartphone ila kwa kuwa.mda.wote unawaza Mbowe huwezi jua hili.
Kuhusu kushusha umeme , serikali sio tuu ilishusha umeme via REA bali ilisambaza Vijijini, unfortunately muitikio umekuwa mdogo Sana kiasi kwamba matarajio hayakufikiwa hivyo kuwa mzigo kwa Tanesco.
Kwa Sasa accessibility ya umeme ni kubwa ila connectivity ni ndogo Sana,licha ya kuweka sh.27,000 Huko Vijijini lakini kijiji kizima unakuta walio na umeme hawafiki 10..
Hivi hivi ukileta Mjini pia bado connectivity itakuwa ndogo hivyo Tanesco kubeba mzigo mkubwa,ni heri uwe na watu wachache ambao watalipa kibiashara inaleta tija kuliko kuwa na watu wengi ambao ni hasara.