usichojua ni kwamba bara tunalipishwa gharama kubwa za umeme ili wazanzibari msiishi gizani. maana gharama zikiwa sawa bara na visiwani, wengi wenu huko hamuwezi kumudu.
 
Kuunganishiwa umeme inatakiwa iwe bure ,haina tofauti na unapompa msamaha muwekezaji ukijua atatoa ajira na wewe utakusanya kodi kutoka kwake.
 
Reactions: Ame
Hivi kweli ...Tanzania hii yenye watu million karibu sitini haina mtu mwingine zaidi ya Mwinyi,... mwenye uwezo wa kuwa Rais nje ya huo utaratibu wa kifalme wa kurithishana?🤔
 
'Inatakiwa iwe bure'.. tuanzie hapa, hii kanuni umeitoa kitabu gani?
Ni kanuni ya kibiashara? Ni sehemu ya sheria? Au umetoa tu kichwani..??

Na kama umetoa kichwani, of which ndio ukweli, misingi yako ya kimahesabu ikoje?

Watu wameanza kuzoeshwa ufalme, saa hizi utasikia rz1 anafaa kuwa prezidaa.........
 
Unatetea ujinga sijui kwa faida ya nani.

Hivi unajua
1. Smartphone zimeondolewa VAT ili zishuke bei na watanzania wengi wanunue na serikali ikate tozo?

2. Serikali inatoa elimu bure?

3. Serikali inatoa mikopo vyuo vikuu?
Hiyo serikali imewezaje yote hayo alafu ishindwe kushusha bei ya kuunga umeme?
 
Watu wameanza kuzoeshwa ufalme, saa hizi utasikia rz1 anafaa kuwa prezidaa.........
Inasikitisha sana hii. Tatizo nadhani ni kukosekana kwa vyama vya upinzani vilivyo imara na mrengo unaoeleweka. Hii habari ya yule ni mwenzetu apewe kiti imepitwa na wakati.
 
Yaani wewe, hapa unaongelea gharama ila unazidisha uswahili..

1.Tozo uliambiwa zitaenda kwenye umeme?
2. Kwamba elimu ikiwa bure basi vitu vingine vyote viwe bure?? Unafikiriaje wewe??
3. Kuna uhusiano gani kati ya kutoa mkopo kwa elimu ya juu na kuunganisha umeme bure??
 
Hivi unajua bei ya kuunganisha umeme Rwanda? Uganda je? Wewe ni kilaza sana
 
Hivi kweli ...Tanzania hii yenye watu million karibu sitini haina mtu mwingine zaidi ya Mwinyi,... mwenye uwezo wa kuwa Rais nje ya huo utaratibu wa kifalme wa kurithishana?🤔
Ni yupi unayempendekeza?

Sijasema mwinyi anafaa ila ni upuuzi sana kukosoa pendekezo la mtu anayefaa ukiwa huna pendekezo bora.
 
Rafiki comparison haifanywi hivyo!
Huwezi kutoka na sekta moja hapa ukalinganishe directly na sekta hiyohiyo nchi nyingine.. ukitaka hivyo, compare sekta zote na variables zote..

Kila taifa lina kipaumbele chake.. huu ni wakati ambao kuna miradi mikubwa ya maendeleo ambayo iko njiani na inahitaji fedha kuikamilisha, na mradi wa umeme ukiwemo.. subiria mradi wa umeme wa Nyerere ukamilike tuone marejesho ya fedha za mkopo yanafanyikaje ndio utafute unafuu wa gharama.
Hivi unajua bei ya kuunganisha umeme Rwanda? Uganda je? Wewe ni kilaza sana
 
Huna akili na bila shaka vijiji elfu 2 vilivyobaki havitaisha kupelekewa umeme.
 
Tatizo la kuwapa vyeo wanawake ndiyo ilo wanawake uwa viburi sana tena viburi vyao havina akili
 
Huna akili na bila shaka vijiji elfu 2 vilivyobaki havitaisha kupelekewa umeme.
Wewe kusema sina akili haina maana ya kwamba sina, ni maoni yako tu na namna ya kukimbia mjadala..kwaheri
 
Kuunganishiwa umeme inatakiwa iwe bure ,haina tofauti na unapompa msamaha muwekezaji ukijua atatoa ajira na wewe utakusanya kodi kutoka kwake.
Nani kakuambia tanzania kuna bure

Bure haijawahi kutokea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…