Rais Dkt. Samia atangaza ofa ya kuiona Taifa Stars bure dhidi ya Guinea

Wanasiasa wakianza kutia mikono tu, mara nyingi huwa hatutoboi
 
Okoeni watu kariakoo kwanza, kwenye ujinga pesa ipo kwenye mambo ya maana mnataka wananchi tuwachangie
 
Hii inasaidia nini sasa! Naombea wale magoli ya kutosha.
 
Sawa. Tukajae uwanjani sasa.
 
Watu walishalipiwa waende tu tena hadi nauli mmeshalipiwa panda daradara kutoka mvuti,msongola mbande kisewe wewe sema mama ameshalipa.
We zama ndani .
 
We are the third world not because the sun rises on the West and sets in the East, but because we have engaged the reverse gear and we are moving with jet like speed in the wrong direction...πŸ˜‘
 
Shida Sasa hiiπŸ˜€
 
nilijua tu serikali ya ccm haipendi taifa staras itoboe kwenye hili kundi kwasababu wanajua wakijiingiza hapo tutakwama so wameamua watukwamishe
 
Huyu bibi inapenda vitu vyepesi.vitu vya muhimu kama uokoaji Kwa waliopata ajali anadai Hana pesa za kuwahudumia hospitali na ameonesha uzembe wa hali ya juu katika uokoaji.Watu wanapata ajali yeye anaenda kudundika mdundiko brasili!
 
Kichwani umejaa mavi t ..koo wewe ssaiv hutombi,mtu ata akikushka kalio unatulia t sababu Kuna maafa kariakoo..
Acha usenge bas.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…