Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

Judith Ndunguru

New Member
Joined
Jul 3, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmina na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.
6746129f-eb16-40a6-8bac-17b132c8f022.jpeg
f3ab411c-88df-4c96-b877-2b80dc71f9d8.jpeg
9c550f58-f2d0-41a4-a6cc-0d70faa5c494.jpeg
 
Huyu mbna miwani kafunga na kamba....na huyo mwengine mwambieni akaze asisingizie ufupi...!!
 
Vema! Kila rais anakaribishwa kwa gwaride la kijeshi anapotembelea nchi nyingine.
 
Hawa jamaa wanajeshi wanaopiga gwaride ni wa kutoka Tanzania....ina maana Tanzania ina ushawishi mkubwa kwenye hivi visiwa.
 
Hahahah!! Ilo jeshi ss.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hata mwizi, muuaji au kahaba akienda Kijiji cha jirani hupokelewa vizuri kwa kuwa hawajui maisha yake halisi.
 
Hao maafande ni maafande rama watupu........yaani wanapitwa ukakamavu hata na muuza madafu wa ikulu.......
 
Back
Top Bottom