visiwa vya comoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Visiwa vya Comoro umezaa matunda mengi

    Uhusiano na ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika umedumu kwa zaidi ya miaka 70, tangu wakati China ilipoanzisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi hizo za Afrika. Katika kipindi hicho, China imedhihirisha lengo lake la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali pamoja kati ya China na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe ya Miaka 50 ya Uhuru wa Umoja wa Visiwa vya Comoro Julai 6, 2025 https://www.youtube.com/live/ARMJblFM7kg?si=RP84lkaqiIDNLqgC Sehemu ya Hotuba ya Rais Samia Rais Samia amependekeza Comoro wafundishe lugha ya kiswahili nchini mwao na Tanzania ipo tayari kuwasaidia...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nashauri Mamlaka za Tanzania Kufanya Mazungumzo na Visiwa vya Comoro Viwe sehemu ya JMT Vikiwa na Utawala Wake wa Ndani kama Zanzibar

    Kikosi cha Wanajeshi kutoka Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimewasili nchini Comoro, ambapo kinatarajiwa kushiriki maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo yatakayohudhuriwa pia na Rais Samia Suluhu Hassan. Kikosi hicho kinaongozwa na Kapteni Mohammed Maulid Nchimba na...
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro

    Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara Kimataifa kwa Wanadiaspora wa Visiwa vya Comoro Mgeni Rasmi: Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki 📍Moroni, Comoro 📅 14-16 Machi, 2025
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) afanya ziara Visiwa vya Comoro

    MKURUGENZI MKUU ZBC ZIARANI COMORO Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Zanzibar, Ramadhani Bukini yuko nchini Comoro ambapo amekutana na Mkurugenzi Mkuu mwenzake wa Shirika la Utangazaji Comoro ORTC na kutoa mhadhara wa “Maboresho Yanayofanyika ZBC” uliokuwa kivutio kikubwa. Bwana...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC)

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
Back
Top Bottom