Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

Wanajeshi Wa Tanzania Wametangulia Visiwani Kabla SSH Hajaenda
 
Kwan wana upungufu gani hao wanajeshi
Wanaonekana wana njaa sana, hata hivyo wana bahati sa100 kaenda kuwapa msaada siunajua tena uchumi wa Tz kwasasa umeuzidi ule wa US na Ulaya!!
Yaani huyu mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!
 
Kwan wana upungufu gani hao wanajeshi
1. Wanajeshi hawajazingatia nidhamu /itifaki ya gwaride i.e. warefu na wafupi wamechangayikana.
2. Wanaonekana kumzingatia Mama wanashangaa-shangaa, badala ya kukaza macho mbele kwa Afande kiongozi.
3. Kama isingekuwa wamevaa kombati, mkao wao umekaa "kiraia-raia" i.e. wapo nyoro nyoro mno.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmina na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.View attachment 3396247View attachment 3396248View attachment 3396249
Madam president commander in chief herself. Long live
 
Burundi na comoro Ni nchi zinazoikubali Sana tz

Biashara kubwa Sana Kati yetu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmina na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.View attachment 3396247View attachment 3396248View attachment 3396249
Cc. @lucasmwashambwa
 
Ni baada ya kukosa marafiki EU na US
 
Kwenye movie ya Yesu, kuna jamaa alikuwa na mapepo mengi. Alipomuona Yesu akaleta mbwembwe, basi Yesu akamzingua kiaina, alafu akamuuliza, "unaitwa nani...?". Akajibu, "Ninaitwa Jeshiii...". Pengi jeshi alilomaanisha ndio hili tuonalo picha zake.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bergamo Moroni leo tarehe 06 Julai 2025. Rais Dkt. Samia yupo katika Umoja wa Visiwa vya Comoro kwa Ziara ya kikazi ya siku moja ambapo pia amealikwa kama Mgeni Rasmina na Rais wa nchi hiyo Mhe. Azali Assoumani kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa nchi hiyo zitakazofanyika kwenye Uwanja wa Malouzini Omnisport mjini Moroni.View attachment 3396247View attachment 3396248View attachment 3396249
Hilo Jeshi mbona mdebwedo sana hawa? Wakipigwa ambush wanakufa wote
 
Back
Top Bottom