Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alivyopokelewa na gwaride la jeshi la Umoja wa visiwa vya Comoro

Mbona wanajeshi wengine wafupi wafupi????
 
Wanajeshi Wa Tanzania Wametangulia Visiwani Kabla SSH Hajaenda
 
Kwan wana upungufu gani hao wanajeshi
Wanaonekana wana njaa sana, hata hivyo wana bahati sa100 kaenda kuwapa msaada siunajua tena uchumi wa Tz kwasasa umeuzidi ule wa US na Ulaya!!
Yaani huyu mama anaupiga mwingi hadi kwenye matope!
 
Kwan wana upungufu gani hao wanajeshi
1. Wanajeshi hawajazingatia nidhamu /itifaki ya gwaride i.e. warefu na wafupi wamechangayikana.
2. Wanaonekana kumzingatia Mama wanashangaa-shangaa, badala ya kukaza macho mbele kwa Afande kiongozi.
3. Kama isingekuwa wamevaa kombati, mkao wao umekaa "kiraia-raia" i.e. wapo nyoro nyoro mno.
 
Madam president commander in chief herself. Long live
 
Burundi na comoro Ni nchi zinazoikubali Sana tz

Biashara kubwa Sana Kati yetu
 
Cc. @lucasmwashambwa
 
Ni baada ya kukosa marafiki EU na US
 
Kwenye movie ya Yesu, kuna jamaa alikuwa na mapepo mengi. Alipomuona Yesu akaleta mbwembwe, basi Yesu akamzingua kiaina, alafu akamuuliza, "unaitwa nani...?". Akajibu, "Ninaitwa Jeshiii...". Pengi jeshi alilomaanisha ndio hili tuonalo picha zake.
 
Hilo Jeshi mbona mdebwedo sana hawa? Wakipigwa ambush wanakufa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…