liuaji la tanzania nalo liitoe tz la sivyo lazima aende akanyee ndoo ICCAkihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo,
Rais Trump ameipiga marufuku mahakama hiyo ya ICC kuwachunguza au kuwashitaki raia wa marekani na washirika wake kote ulimwenguni, na kwamba mahakama hiyo haina uhalali wa kufanya hivyo dhidi ya wamarekani na washirika wake. Aidha Trump amezitaka nchi zote duniani, hususani washirika wake, kujiondoa mara moja kwenye mahakama hiyo isiyohalali, na anayodai inawalenga zaidi waKristo, na kwamba chombo hicho dhaifu na kisicho na uhalali wa kutetea haki ni adui wa wakristo.
Una maoni gani kuhusu hatua hii ya marekani dhidi ya ICC?
Mungu Ibariki Tanzania
PIPE DREAM,MLITAKA KUICHOMA NCHI YETU TUKAWAWAIliuaji la tanzania nalo liitoe tz la sivyo lazima aende akanyee ndoo ICC
Chadema hawakawii kusema Trump kahongwa na CCM ili awe chawa wao! Ahahahahaha!!Akihutubia United Nations General Assembly, huko New York leo,