STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
@SexerTrumpist hawatakubali. Watasema hii ni fake news na conspiracy ya do nothing dems and radical left[emoji28][emoji28][emoji28]
Nlikutag MKUU uje ujionee maana sikukuona ukitia neno[emoji3][emoji3][emoji16]Trump rally vs Biden rallyView attachment 1485522View attachment 1485523
Nami nimecomment ujionee [emoji3][emoji3]Nlikutag MKUU uje ujionee maana sikukuona ukitia neno[emoji3][emoji3][emoji16]
umetisha mnoo maana nimecheka hatariShida ya Trump anashindaga tu .. kura ziwe chache au watu wa chache ..yeye huwa anashindaga tu... Nilisikia mahala wanasema Trump alipata mafunzi kwa Wakumfunzi kutoka CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Watoto wamemtia adabu mtu mzima😂😂😂Hadi nimemuonea huruma,,ujue wiki moja nyuma alitamba kuwa watahudhulia watu milioni moja,ule ukumbi unachukua watu 20,000,sasa mpaka jana tiketi zimechukuliwa za 800,000,
Mpaka hapo ina maana ukumbi unge overflow,sasa wakajenga jukwaa jingine nje ya ukumbi,ili trump akimaliza kuhutubia ndani,atoke pia nje,
Kumbe huko US kuna vikundi vya wapwa,wanajiita Tiktok teen na KPOP stan,,hawa ni vijana teenager,au generation Z,walijiorganise wakanunua tiketi kibao kisha hawakwenda,,ili tu kumharibia,
Matokeo hata huo ukumbi wameingia watu 6500 tu,out of idadi iliyotarajiwa ya watu milioni 1
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]tukimpa Jecha lazima atatoboa.
Umepiga mulemule , Mkuu. Generation Z imemuingiza chaka Mzee mzima. November hii hatoboi huyu muungwana. Yaani hapa GOP inabidi waanze kujipanga upya, vinginevyo jahazi zima linazama hili. 😁😁Hadi nimemuonea huruma,,ujue wiki moja nyuma alitamba kuwa watahudhulia watu milioni moja,ule ukumbi unachukua watu 20,000,sasa mpaka jana tiketi zimechukuliwa za 800,000,
Mpaka hapo ina maana ukumbi unge overflow,sasa wakajenga jukwaa jingine nje ya ukumbi,ili trump akimaliza kuhutubia ndani,atoke pia nje,
Kumbe huko US kuna vikundi vya wapwa,wanajiita Tiktok teen na KPOP stan,,hawa ni vijana teenager,au generation Z,walijiorganise wakanunua tiketi kibao kisha hawakwenda,,ili tu kumharibia,
Matokeo hata huo ukumbi wameingia watu 6500 tu,out of idadi iliyotarajiwa ya watu milioni 1
Haijsisha mzee wangu; inaaendelea kama kawaida, na tena sasa hivi imeanza kwa kasi mpya na nguvu mpya. Ila kuna watu wamejifunza namna ya kuishi nayo na kuna wengi wanaodhani mambo ni kama kawaida, kwa hiyo idadi ya waathirika imekuwa inaongezeka kwa kasi sana. Lockdown siyo suluhu, lakini vilevile kujifanya kuwa hakuna lililotokea siyo suluhu pia; suluhu iko katikati ya misimamo hiyo miwiliKwani Corona imeisha huko ?
Hapana mzee, hiyo picha ya Trump ni ya zamani watu hawana barakoa; picha yenyewe ya Tulsa ilikuwa hii ambayo unaona kuna wenye barakoaTrump rally vs Biden rallyView attachment 1485522View attachment 1485523
uwe unatumia akili basi, hivi hata diamond akifanya show ya bure ila kukawa hakuna amani kwasababu ya waandamanaji wanaobaka, wanaoua, kupiga, kuiba, n.k nani angeenda?? hawa wenyewe walioenda ni mashujaa sana.Hadi nimemuonea huruma,,ujue wiki moja nyuma alitamba kuwa watahudhulia watu milioni moja,ule ukumbi unachukua watu 20,000,sasa mpaka jana tiketi zimechukuliwa za 800,000,
Mpaka hapo ina maana ukumbi unge overflow,sasa wakajenga jukwaa jingine nje ya ukumbi,ili trump akimaliza kuhutubia ndani,atoke pia nje,
Kumbe huko US kuna vikundi vya wapwa,wanajiita Tiktok teen na KPOP stan,,hawa ni vijana teenager,au generation Z,walijiorganise wakanunua tiketi kibao kisha hawakwenda,,ili tu kumharibia,
Matokeo hata huo ukumbi wameingia watu 6500 tu,out of idadi iliyotarajiwa ya watu milioni 1
Wapi Kerry alisema hayo. Ninavyomjua Kerry hawezi kusema hivyo. Prove me wrong.John Kerry anasema kuna uwezekano wa kuzuka "mapinduzi" nchini endapo Trump atashinda Uchaguzi ujao.
Ila Trump ni mtu mwenye kushangaza sana kinyume na wengi wanavyomfikiria na kumtarajia.
Lolote linaweza kutokea! (In Bartholomew Michelangelo's voice)
Ninayemzungumzia mimi ni John Forbes Kerry ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje/Kigeni wa zamani (Former United States Secretary of State).Wapi Kerry alisema hayo. Ninavyomjua Kerry hawezi kusema hivyo. Prove me wrong.
[emoji23][emoji23][emoji23] one term president (OTP)
Huyo huyo. Nataka kujua alisema wapi na source ya hiyo habari.Ninayemzungumzia mimi ni John Forbes Kerry ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje/Kigeni wa zamani (Former United States Secretary of State).
Wewe unamzungumzia Kerry yupi?