Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

Eti unagombana na Canada, mara unataka mataifa ya ulaya wamtenge China vikwazo bila sababu za msingi mara uvunje dili la Nuclear la Iran, unampangia India aueze nn, ulete sera za ubaguzi nchini mwako, lazima mzee aharibu, kuna vitu vingi dunia ya sasa vimaitaj busara sio unatimia ubabe
 
Trump rally vs Biden rally
IMG_20200621_224323.jpg
IMG_20200621_224329.jpg
 
Hadi nimemuonea huruma,,ujue wiki moja nyuma alitamba kuwa watahudhulia watu milioni moja,ule ukumbi unachukua watu 20,000,sasa mpaka jana tiketi zimechukuliwa za 800,000,
Mpaka hapo ina maana ukumbi unge overflow,sasa wakajenga jukwaa jingine nje ya ukumbi,ili trump akimaliza kuhutubia ndani,atoke pia nje,
Kumbe huko US kuna vikundi vya wapwa,wanajiita Tiktok teen na KPOP stan,,hawa ni vijana teenager,au generation Z,walijiorganise wakanunua tiketi kibao kisha hawakwenda,,ili tu kumharibia,
Matokeo hata huo ukumbi wameingia watu 6500 tu,out of idadi iliyotarajiwa ya watu milioni 1
Watoto wamemtia adabu mtu mzima😂😂😂
Nalog off
 
Umepiga mulemule , Mkuu. Generation Z imemuingiza chaka Mzee mzima. November hii hatoboi huyu muungwana. Yaani hapa GOP inabidi waanze kujipanga upya, vinginevyo jahazi zima linazama hili. 😁😁
 
Kwani Corona imeisha huko ?
Haijsisha mzee wangu; inaaendelea kama kawaida, na tena sasa hivi imeanza kwa kasi mpya na nguvu mpya. Ila kuna watu wamejifunza namna ya kuishi nayo na kuna wengi wanaodhani mambo ni kama kawaida, kwa hiyo idadi ya waathirika imekuwa inaongezeka kwa kasi sana. Lockdown siyo suluhu, lakini vilevile kujifanya kuwa hakuna lililotokea siyo suluhu pia; suluhu iko katikati ya misimamo hiyo miwili
 
Inamaana kule kushiriki kampain unanunua tiket kama unaenda kuangalia mechi ya simba na yanga? I cant buy this
 
Biden mpinzani wa trump hawezi kujaza hata kiukumbi yule babu 😀😀, na pia ikumbukwe trump kila rally huwa anajaza mpaka kuvunja rekodi za idadi ya wahudhuriaji, kuna rally alijaza mpaka akavunja rekodi ya elton john.

Ila umesahau kusema kwmaba ni zaidi ya watu milioni wali apply hio rally na endapo kusingekuwa na waandamanaji wanaopiga watu, kuharibu mali, kuiba madukani, n.k trump angejaza bila tatizo. wa kulaumiwa ni kina democrats wagonjwa kina Ill-anne wanaotaka kubadili marekani iwe mogadishu

The silent majority has never been mich stonger, 2020 democrats watashinda tu kwenye polls zinazofanyikaga sebuleni kwao

Biden hana nafasi, hawezi jaza kitu na hajui hata anachoshindania hadi akumbushwe

IMG_20200621_144727.jpg
 
Attachments

  • IMG_20200621_144727.jpg
    IMG_20200621_144727.jpg
    52.1 KB · Views: 2
Hadi nimemuonea huruma,,ujue wiki moja nyuma alitamba kuwa watahudhulia watu milioni moja,ule ukumbi unachukua watu 20,000,sasa mpaka jana tiketi zimechukuliwa za 800,000,
Mpaka hapo ina maana ukumbi unge overflow,sasa wakajenga jukwaa jingine nje ya ukumbi,ili trump akimaliza kuhutubia ndani,atoke pia nje,
Kumbe huko US kuna vikundi vya wapwa,wanajiita Tiktok teen na KPOP stan,,hawa ni vijana teenager,au generation Z,walijiorganise wakanunua tiketi kibao kisha hawakwenda,,ili tu kumharibia,
Matokeo hata huo ukumbi wameingia watu 6500 tu,out of idadi iliyotarajiwa ya watu milioni 1
uwe unatumia akili basi, hivi hata diamond akifanya show ya bure ila kukawa hakuna amani kwasababu ya waandamanaji wanaobaka, wanaoua, kupiga, kuiba, n.k nani angeenda?? hawa wenyewe walioenda ni mashujaa sana.

Na pia ikumbukwe ndio kwa mara ya kwanza kuna hii habari kwasababu kila raly ni kawaida ya trump kujaza.

Kukiwa hakuna amani mambo yanaharibika,
 
John Kerry anasema kuna uwezekano wa kuzuka "mapinduzi" nchini endapo Trump atashinda Uchaguzi ujao.

Ila Trump ni mtu mwenye kushangaza sana kinyume na wengi wanavyomfikiria na kumtarajia.

Lolote linaweza kutokea! (In Bartholomew Michelangelo's voice)
Wapi Kerry alisema hayo. Ninavyomjua Kerry hawezi kusema hivyo. Prove me wrong.
 
Wapi Kerry alisema hayo. Ninavyomjua Kerry hawezi kusema hivyo. Prove me wrong.
Ninayemzungumzia mimi ni John Forbes Kerry ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje/Kigeni wa zamani (Former United States Secretary of State).

Wewe unamzungumzia Kerry yupi?
 
Ninayemzungumzia mimi ni John Forbes Kerry ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje/Kigeni wa zamani (Former United States Secretary of State).

Wewe unamzungumzia Kerry yupi?
Huyo huyo. Nataka kujua alisema wapi na source ya hiyo habari.
 
Back
Top Bottom