FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Habari!
Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa.
Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na Trump ni kuhusu mauaji ya George Floyd sanjari na mvutano uliopo.
Maafisa kutoka White House wangali wakilifanyia kazi suala hilo na kipindi kifupi kuanzia sasa inatarajiwa kutolewa taarifa rasmi kuhusiana na hotuba hiyo.
Ni hayo tu kwa sasa. Asante!