Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
MKUU wengine tunaposema TURAMPET nirais wahovyo kabisa kuwahi kumshuhudia akiwa anaiongoza US hua tunamaanishaToo late!
Sidhani kama kuna atayemsikiliza.
Ni kama vile kalazimishwa tu kwa sababu za kisiasa na si jambo lenye umuhimu kwake.
Naamini ni wachache mno wataomwona kuwa anayaamini hayo atayoyaongelea.
Jamaa kachemsha sana kwenye hili suala la Floyd.
Sijawahi kuona incumbent president anayefanya kila juhudi ili asiweze kuchaguliwa kwa muhula wa pili kama ambavyo afanyavyo Trump!
Hivi ni nani kwanza atayeamini kwamba hayo atayoyaongea yanatoka moyoni?
Japokua tukishasema haya watu wanatoa maneno yakashfa dhidi yetu ila hatujali sababu maneno tu
Ila Turampet hatakama atashinda Basi atabakia kuwa Rais wahovyo kabisa kuiongoza states ambae nimewahi Kumshuhudia
Kizee hakijitambui kile...