Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

Trump hajawahi kupenda blacks hata siku moja. Hata sheria anazosaini kila mara za kuzuia wahamiaji kuingia USA sana sana analenga kuwazuia Waafrica kuingia nchini kwake.
Wahamiaji haramu.Sasa kuna mtu anapenda Wahamiaji Haramu? Trump anaipenda America.Na Wahamiaji sio waamerica
 
Ubaguzi hauwezi kuisha na utakuwepo ila wengine kama Jews wamejiongeza kwa kujua bila kuwa na hela na nguvu bado watanyanyashwa tu
Miaka ya nyuma Miami ilikuwa ni marufuku jews, black na mbwa lakini jews waliamua kuungana na kupambana na kununua sehemu nyingi ingawa waliwekewa vikwazo vingi lakini sheria zilibadilika
Blacks bado sana
Acha niwaachie hii makala kidogo
Ila Trump ni mbaguzi mkubwa View attachment 1473218
Duh..
hadi Jew walikuwa wakibaguliwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana mbona unakurupuka ?!
Kwahio sasa hv ndoa zajinsia moja pale US marufuku kwa amri ya Turampet ?!


Mimi mbona namuombea ashinde hakuna hata sehemu moja nimetamani jamaa ashindwe hakuna nahakuna

Natamani jamaa ashinde ushindi wakishindo

Ila Ndoa zajinsia Moja toka turampet aingie WH zimepigwa marufuku !??.
Rais trumpo wa repubulic anapinga ushoga marekani na duniani. Ukiona mtu anampinga Trumpo jua anatetea ushoga .Mungu alawalaani nyinyi vibaraka vya democractic ya obama.tutakufa tukimtetea Trumpo na republic kwasabubu anamcha Mungu
 
Wahamiaji haramu.Sasa kuna mtu anapenda Wahamiaji Haramu? Trump anaipenda America.Na Wahamiaji sio waamerica
Wapo wahamiaji wa Aina nyingi ambao kwa historia na sheria za Marekani wanapaswa kupokelewa Marekani kila mwaka. Mfano kuna sheria ya Marekani ya mwaka 1980 inatamka kuwa kila mwaka USA itakuwa inapokea wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali yakiwemo ya Africa ambayo ndo Ina wakimbizi wengi. Marais wote waliomtangulia wamekuwa wakiifata sheria hii lakini Trump alipoingia madarakani kwanza alisitisha utaratibu huu kwa karbu mwaka mzima. Na hata aliporuhusu aliruhusu namba kidogo Sana mfano mwaka Jana aliruhusu 30000 kutoka dunia nzima na mwaka huu ameruhusu 18000 Huku namba ya waafrika wakiruhusiwa wachache Sana si zaidi ya 1500.
 
Tramp huyu ndie anaepinga ushoga??
Rais trumpo wa repubulic anapinga ushoga marekani na duniani. Ukiona mtu anampinga Trumpo jua anatetea ushoga .Mungu alawalaani nyinyi vibaraka vya democractic ya obama.tutakufa tukimtetea Trumpo na republic kwasabubu anamcha Mungu
Marekani rais yyte huwa ushoga ni jambo la kawaida coz kwao wako hivyo, yaani nchi za kizungu ushoga ni kawaida sana, sjui kwa nn mnapenda kujitoa ufaham
191209-trump-lgbtq-flag-greeley-colorado-ew-628p_da9af14a4bbe61cbc6844ebf89480aa8.fit-760w.jpg
2016-10-30t230209z_256443668_s1beukambhaa_rtrmadp_3_usa-election-trump_9fd42ab83209fe1755f0caf...jpg
sub-buzz-6881-1530301470-7.jpg


Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom