FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Trump ni baba wa ubaguzi wa rangi.
Una gubu weweNa wewe Mama wa Ubaguzi na roho mbaya
... hapo ndipo nawapendea hawa jamaa! Ingekuwa kule kwingine, kwanza internet ingezimwa nchi nzima; habari zote zinazotoka na kuingia zingechujwa na serikali; habari zisizoipendeza serikali zingezuiwa kutoka; waandishi makini wangewekwa detention kwa muda; Kiongozi Mkuu angesimama hadharani kuitukana Marekani and the West kuonesha ndio waliosababisha mauwaji nchini mwake hata kama askari wao (wa hiyo nchi) ndio waliohusika. Mwisho yangeandaliwa maandamano makubwa sana ya kumsifu Kiongozi wao na kuilaani Marekani! Marekani ni Katiba na sheria tu; longolongo tupa kule.
Kama ilivyo ada, takwimu zinatolewa kila siku.Marekani bado inatoa takwimu za corona? Vipi yale maandamano hayajaongeza wagonjwa wa corona?
... hivi "whites" ina-include waarabu, wachina, wahindi, etc. au ni wazungu tu?Maneno meengi but we can't forget the evil ya wazungu View attachment 1471863
Wewe nenda China kama utamkonyeza hata binti wa kichina kama hujarejeshwa hapa kwenye jeneza.Maneno meengi but we can't forget the evil ya wazungu View attachment 1471863
... hapo ndipo nawapendea hawa jamaa! Ingekuwa kule kwingine, kwanza internet ingezimwa nchi nzima; habari zote zinazotoka na kuingia zingechujwa na serikali; habari zisizoipendeza serikali zingezuiwa kutoka; waandishi makini wangewekwa detention kwa muda; Kiongozi Mkuu angesimama hadharani kuitukana Marekani and the West kuonesha ndio waliosababisha mauwaji nchini mwake hata kama askari wao (wa hiyo nchi) ndio waliohusika. Mwisho yangeandaliwa maandamano makubwa sana ya kumsifu Kiongozi wao na kuilaani Marekani! Marekani ni Katiba na sheria tu; longolongo tupa kule.
Too late!
Sidhani kama kuna atayemsikiliza.
Ni kama vile kalazimishwa tu kwa sababu za kisiasa na si jambo lenye umuhimu kwake.
Naamini ni wachache mno wataomwona kuwa anayaamini hayo atayoyaongelea.
Jamaa kachemsha sana kwenye hili suala la Floyd.
Sijawahi kuona incumbent president anayefanya kila juhudi ili asiweze kuchaguliwa kwa muhula wa pili kama ambavyo afanyavyo Trump!
Hivi ni nani kwanza atayeamini kwamba hayo atayoyaongea yanatoka moyoni?
Hisia zangu zinaniambia watu wameichoka tabia yake.Trump anacheza kete za kuwafurahisha white nationalists ambao ni majority na wako silent kwa sasa. Anajua siku ya kura watampigia enmasse
Hisia zangu zinaniambia watu wameichoka tabia yake.