Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

Nakumbuka mkutano huu alipouleta Tanzania nyerere ndiyo akajenga hoteli ya 77 Arusha na akanunuwa Benz mpya 77 ili kupokea wageni huku Watanzania wanakaa foleni ya kula.

Yule mzee alikuwa na mambo ya kijinga jinga sana. kazi kujichekesha chekesha tu.

Haa! kumbe Nyerere alinunua Benz 77 tu.

Mwaka jana Serikali imenunua V8 500 zikiwemo za ma RC! Hivi wananchi wanakula biriani na keki leo?

Kila baada ya miaka 5 tunanunua V8 500 kwa walala usingizi Dodoma tukijidanganya wanakopeshwa! Hivi wananchi wanakula Nyama , Kuku na mayai leo?

Kuna mswada wa kulipa wenza wa viongozi, hivi tunapesa za kutosha kiasi kwamba tunalipa Wapenzi kiinua mgongo!
Unataka kusema watu wa Isevya, Mkirira, Mkuranga, Kidogobasi, Nanjopa wanakula makaimati na Pilau leo!

JokaKuu
 
Nakumbuka mkutano huu alipouleta Tanzania nyerere ndiyo akajenga hoteli ya 77 Arusha na akanunuwa Benz mpya 77 ili kupokea wageni huku Watanzania wanakaa foleni ya kula.

Yule mzee alikuwa na mambo ya kijinga jinga sana. kazi kujichekesha chekesha tu.
Mkuu huo ni udini sasa!
 
Kikwete hacheki anatabasamu ya asili.

Naona huelewi tofauti ya kucheka na kutabasamu. Ni wazi Kiswahili siyo lugha mama kwako.

Tusiandikie na mate na wino upo, zaidi ya kujuwa kupiga porojo ni kipi cha maana ulichokikuta wewe cha Nyerere, AlhamduliLlah mimi nimeishi wakati wake wote.
Ukivuliwa nguo chutama, acha kujishebedua.
 
14 September 2023

Afrika ya Kusini yahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la 77 (G77) + China nchini Cuba, 15 hadi 16 Septemba 2023.


Waziri Naledi Pandor kumwakilisha Rais Ramaphosa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la 77 (G77) + China mjini Havana, Cuba kuanzia tarehe 15-16 Septemba 2023

Waziri wa Uhusiano wa Kimataifa na Ushirikiano, Dk Naledi Pandor ataiwakilisha Afrika Kusini kama kiongozi wa ujumbe wa Afrika Kusini kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la 77 (G77) + China kuhusu: "Changamoto za Maendeleo za Sasa: The Jukumu la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu" ambalo litafanyika Havana, Cuba kuanzia tarehe 15-16 Septemba 2023.

Madhumuni ya Mkutano wa G77 + China ni kuhimiza mjadala na uchambuzi juu ya changamoto kuu zinazokabili Kusini. Mkutano huo pia utaweka msingi wa misimamo na maslahi ambayo Kikundi kitatetea katika muktadha wa michakato mingi ya mazungumzo inayofanyika, kama vile Mkataba wa Kimataifa wa Kidijitali, Mchakato wa Mapitio ya Jumla ya Mkutano wa Kilele wa Dunia wa Jumuiya ya Habari (WSIS + 20), Mkutano wa Kilele wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG) na Mkutano wa Siku zijazo.

Afrika Kusini inaunga mkono umuhimu wa Sayansi na Teknolojia kwa sababu zimekuwa na manufaa katika chachu ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika nchi za zilizo Kusini mwa dunia, hasa katika juhudi za kurejesha utu kwa maisha ya wale wasiofikiwa maendeleo na mabadiliko waliopo katika umaskini na ukosefu wa usawa.
Katika suala hili, Afrika Kusini, kwa hivyo, imetoa wito wa ushiriki zaidi na uwezeshaji wa wanawake na vijana katika sekta hiyo, haswa uvumbuzi.

Hata hivyo, ingawa tunatambua mabadiliko endelevu na maendeleo, tunasisitiza wito wetu kwa nchi zilizoendelea kiviwanda za Kaskazini duniani kuunga mkono uhamishaji wa teknolojia kwa nchi zinazoendelea, wakati ambapo sekta hiyo ni muhimu katika kuwasilisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu, ambayo imekuwa na changamoto Kusini mwa ulimwengu kwa sababu ya janga la COVID-19 na hali ya kijiografia ya ulimwengu.

Source : Minister Naledi Pandor attends Summit of Heads of State and Government of the Group of 77 (G77) + China in Cuba, 15 to 16 Sept | South African Government
 
Ilikuwa nyang'a nyang'a mpaka ikauziwa mtu binafsi ndiyo kaibadilisha.

Kipi alichokifanya nyerere kwenye uchumi kikawana baraka? Katika 100 labda kimoja. Kipo?

Mzee yule alikuwa mwongeaji mzuri sana, yule angefanya kazi ya u salesman ingemfaa sana, he was mesmerizing lakini Urais ni 0.
Unaongea upuuzi mtupu.
 
Nakumbuka mkutano huu alipouleta Tanzania nyerere ndiyo akajenga hoteli ya 77 Arusha na akanunuwa Benz mpya 77 ili kupokea wageni huku Watanzania wanakaa foleni ya kula.

Yule mzee alikuwa na mambo ya kijinga jinga sana. kazi kujichekesha chekesha tu.
Chuki tu kwa Mwl. Nyerere ndo kisa cha wewe kuandika hii pumba yote. Bibi mtu mzima lakini full of grudges.
 
15 September 2023
Havana, Cuba

Guterres atoa wito kwa G77 na China kutetea ushirikiano wa multilateralism (pande nyingi) 'unaokita mizizi katika usawa'
1694827415542.png

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres atoa wito kwa viongozi kutoka Kundi la nchi 77 zinazoendelea (G77) na China "kupigania ulimwengu unaofanya kazi kwa wote", katika hotuba yake kwenye mkutano wa G77 mjini Havana, Cuba, Ijumaa.

"Ninategemea Kundi lenu, ambalo kwa muda mrefu limekuwa mabingwa wa ushirikiano wa pande nyingi, kujitokeza, kutumia uwezo wenu na kupigana," alisema.

“Watetezi wa mfumo unaojikita katika kuleta usawa; watetezi wa mfumo ulio tayari kuondoa dhuluma na kupuuzwa kwa karne nyingi; na kutetea mfumo unaotoa huduma kwa ajili ya wanadamu wote na sio tu kwa waliobahatika.”

Bwana Guterres amebainisha kuwa ingawa nchi hizi zimeondoa mamia ya mamilioni kutoka kwa umaskini katika miongo ya hivi karibuni, sasa zinakabiliwa na migogoro mingi, pamoja na kuongezeka kwa umaskini na njaa, kupaa kwa bei , madeni maradufu , na majanga ya hali ya hewa yanayoongezeka.

"Mifumo ya nchi kubwa na pia mifumo ya kimataifa imewaangusha," aliwaambia viongozi waliokusanyika katika mji mkuu wa Cuba. "Kutokana na hayo yote Hitimisho ni wazi: ulimwengu unashindwa katika kuzisaidia nchi zinazoendelea."

Alisema mabadiliko yatahitaji hatua katika ngazi ya taifa ili kuhakikisha utawala bora, kukusanya rasilimali na kuweka vipaumbele vya maendeleo endelevu. Wakati huo huo, umiliki huu wa kitaifa utastahili kuheshimiwa.

Sayansi, teknolojia na uvumbuzi
Katibu Mkuu alisisitiza haja ya kuwa na taasisi imara na zenye ufanisi za kimataifa huku jumuiya ya kimataifa ikielekea kwenye "ulimwengu wa pande nyingi".

Alikumbuka kwamba taasisi nyingi za sasa - hasa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Benki ya Dunia - zilianzishwa "wakati nchi nyingi zinazoendelea zilifungwa na utawala wa kikoloni na hazikuwa na sauti juu ya mambo yao wenyewe, au juu ya masuala ya kimataifa. .”

Alisema kaulimbiu ya mkutano huo ya sayansi, teknolojia na uvumbuzi inaweza kukuza mshikamano, kutatua matatizo ya pamoja, na kusaidia kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Walakini, leo "mara kwa mara huchochea ukosefu wa usawa na kuanzisha migawanyiko", alisema, akiashiria ukosefu wa usawa kati ya mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea katika kupata chanjo za COVID-19 na teknolojia ya dijiti.

Bwana Guterres aliongeza kuwa fedha ni eneo jingine la hatua za haraka za kimataifa. Nchi nyingi zinazoendelea haziwezi kuhudumia madeni yao kwa sababu ya athari zinazoendelea za janga, shida ya gharama ya maisha ya ulimwengu, na athari mbaya za hali ya hewa.

UFADHILI WA MABADILIKO YA HALI YA HEWA
Kutoa ufadhili wa hali ya hewa
"Dunia inahitaji haki ya hali ya hewa kwa kuwezesha uwepo wa, haki ya kifedha," alisema.

"Nchi zilizoendelea lazima ziwasilishe dola bilioni 100 zilizoahidiwa, ufadhili wa aina mbili ili kukabiliana na hali ifikapo 2025, na kufadhili upya Mfuko wa Hali ya Hewa ya Kijani. Kila mtu duniani lazima alindwe na mfumo wenye kutoa onyo la mapema ifikapo 2027 dhidi ya majanga ya asili.

Bwana Guterres alionyesha matumaini kwamba Mkutano wa Kilele wa Matarajio ya Hali ya Hewa wiki ijayo, unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, "utaweza kuleta maendeleo ya kweli".

Pia alitoa wito kwa nchi zinazokutana kwenye mkutano wa hali ya hewa wa Umoja wa Mataifa wa COP28 mwezi huu wa Novemba ili kuanzisha Mfuko wa Hasara na Uharibifu, ambao nchi za G77 na China zimepigania.

KESHO YA USAWA ZAIDI

Katika hotuba yake, Katibu Mkuu amebainisha kuwa amependekeza hatua za kuundwa upya mfumo wa fedha duniani ili kuwa na uwakilishi zaidi na unaozingatia mahitaji ya nchi zinazoendelea.

Pia amependekeza Kichocheo cha Malengo Endelevu SDG ambacho kitatoa dola bilioni 500 kila mwaka kwa gharama nafuu ya muda mrefu ya fedha kwa ajili ya maendeleo endelevu na kukabili mabadiliko ya hali ya hewa katika nchi zinazoendelea.

Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa ameitisha Mkutano wa Malengo Maendeleo Endelevu -SDG wiki ijayo na Mkutano wa kilele wa SUMMIT OF THE FUTURE (siku zijazo) mwaka ujao.

Alisema wanawakilisha "fursa halisi za kuunda upya mfumo wa kimataifa na taasisi za kimataifa ili kuzifanya ziakisi hali halisi ya leo badala ya hali halisi iliyokuwepo baada ya Vita vya Pili vya Dunia ili kuunda mustakabali mzuri kwa nchi zinazoendelea."

Umoja wa Mataifa pia umeunda Mkataba wa Kimataifa wa Kidijitali unaolenga kupata mabadiliko ya haki kwa uchumi wa kidijitali, na kwamba kila mtu ananufaika katika enzi mpya ya kiteknolojia.

Mkataba huo unajadiliwa na nchi kabla ya mkutano wa kilele wa siku zijazo, na Bwana Guterres alihimiza G77 na China kuchukua jukumu kuu.

"Sheria mpya za teknolojia mpya haziwezi tu kuandikwa na matajiri na waliobahatika," alisema.

 
Nakumbuka mkutano huu alipouleta Tanzania nyerere ndiyo akajenga hoteli ya 77 Arusha na akanunuwa Benz mpya 77 ili kupokea wageni huku Watanzania wanakaa foleni ya kula.

Yule mzee alikuwa na mambo ya kijinga jinga sana. kazi kujichekesha chekesha tu.
Hamna chochote ni mambo yako ya udini eti alileta mfumo kristo! wajinga sana nyie
 
Naona dalili zote 2025 CCM wanamsimaisha Hussein Mwinyi urais wa JMT.
 

Havana, Cuba, September 15 , 2023.

President Gustavo Petro reiterates to G77 + China countries to make the transition towards a decarbonized economy and strengthen public funds​




View: https://m.youtube.com/watch?v=SKNOyEs-j1I

President Gustavo Petro proposed to the 144 countries that make up the G77+China, promote the energy transition to confront climate change that threatens the existence of the planet.

Before the 144 countries of the G77+China, the president explained that Covid demonstrated in a small way how this transition model could operate.

He proposed asking the UN to address two central issues: war and peace (Ukraine-Russia and Israel-Palestine), and the climate crisis to save the planet.




At the G77+China meeting, President Gustavo Petro defended his proposal for a “universal negotiation for the change of a new global financial system.”

See: Climate agenda, global cooperation and financing, Colombia issues at the G77+China Summit

Petro, who reiterated his thesis raised in different international scenarios, considered that this negotiation of special drawing rights should not be done country by country but on a universal scale.

To reduce debt and finance the decarbonized economy there are two alternatives: capital and debt, he said.

“Covid showed in a small way that the universal issuance of special drawing rights can be increased progressively based on humanity's poverty levels, paying the debt, not condoning it; but paying the debt to the creditors so that the debt of each country decreases and budgetary spaces are opened throughout the world. That is to say – he explained – public funds that allow us to finance the transition to a decarbonized economy.”

Regarding the first option to solve the climate crisis, the Colombian president assured that capital “only finances projects that generate profit, profitability and greed,” which is why he added that there is another space, which is the public funds of the world, which can be increased. also in two ways:

One, as proposed by the United States and Europe: “getting into more debt.” And he noted, “many members of the G77 passively accept this path.”

"That is, in order to solve problems that were caused in a huge chimney and continue to be caused in the United States, in China and in the European Union, we must, in order to save our lives, get into even more debt than the current levels.”

President Petro warned that this path “is not possible,” therefore, the most viable thing is to increase public funds and reduce debt.

“This proposal approved in South America, in Africa, in previous meetings such as the one in Paris, in my opinion should be taken up by the G77, because we do not lose there, we win, because in the end, when we are talking about public funds, we are saying, first, that the public is once again the center of the transformation of the world, and it is a paradigm shift,” explained the Colombian head of state.

However, he admitted that to make this type of transition investment to a decarbonized economy, a Marshall Plan is required “which must be planned on a multilateral and global scale in order to save the life of the planet.”

See: President Petro proposes in Paris a global Marshall Plan to confront the climate crisis

Living space is exhausted​

In his presentation, the president assured that "today science tells us that the main problem of this humanity is called the climate crisis, which will mainly affect the poor nations of the world, among them many of the G77 that science calls the poor of the world, the outcasts of the earth.”

Even more. He considered that many islands (countries of this multilateral group) will sink because "this scientific model indicates that between now and 2070 in this vital space, most of the countries that we inhabit in the torrid zone of the world, like mine, will be uninhabitable."

And then, he pointed out, an exodus will take place that will reach 3,000 million people, according to these scientific models. “A world like this is inconceivable from a political point of view, it would be a very violent world. If it already is when the flow is barely 10, 80 million migrants, what will it be like when there are 3,000 million?

What will the world be like when the lands of the great cities of our countries are uninhabitable? What will the politics be like? What will society be like? Will there be democracy or will there be barbarism? ”he questioned.

Between war and peace​

At the end of his speech, President Petro asked the G77+China to address the issue of war and peace, “not because we have to take sides between Russia or Ukraine, but rather we should compare two situations explicitly in today's global debate.” .

In that sense, he asked: “What is the difference between the war in Russia and Ukraine and that of Israel and Palestine?”, which is why he suggested the G7 (United States, Japan, Germany, United Kingdom, France, Italy and Canada) propose to the United Nations to hold two peace conferences immediately for the good of humanity: “The climate crisis, which is a peace conference on the war in Ukraine” and a peace conference at the same time on the Israeli occupation of Palestine ”, he stressed.

“What is the difference between the war between Russia and Ukraine and that between Israel and Palestine? And why this double standard to assume a great front of human unity in the war of Russia and Ukraine against Russia, and not take sides and sabotage the possibility of a great human front in Israel's occupation of the Palestinian territory, if it is the same?”, concluded the president.
Source : ShieldSquare Block
 

PAUL KAGAME - NINA FURAHA KUKANYANGA ARDHI YA CUBA BAADA YA MIAKA 36 KUPITA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=d-kdy5Uo4E0


Nililetwa hapa wakati nikiwa ofisa mdogo ninayetumika katika jeshi la nchi iliyonipa makazi, yaani Uganda kuja hapa na maofisa wenzangu wa jeshi la Uganda UPDF kupata mafunzo zaidi ya kijeshi hiyo ilikuwa mwaka 1986 hadi 1987

G77 + SUMMIT: PRESIDENT KAGAME HAPPY TO RETURN TO CUBA 36 YEARS LATER​

written by Edmund Kagire September 15, 202311:52 am

WhatsApp-Image-2023-09-15-at-11.44.14.jpeg

President Kagame inspects a guard of honour upon arrival in Havana Cuba.

President Paul Kagame expressed his happiness to return to Havana, Cuba, 36-years after his last visit to pursue a military course, using the opportunity to relieve the memories in the Caribbean nation.

The Head of State arrived in Havana, Cuba on Thursday where he joined leaders from across the globe for the two-day G77 + China Summit of Heads of State and Government taking place from 15-16 September.

“First of all, I am very happy to have been invited to the Summit taking place here in Havana Cuba. For me coming to Havana, Cuba is something of a great memory because I was in this country in 1986 running into 1987, that is 36 years ago. I was a young officer serving in a country that had given me a home as well, which was Uganda,”

“I was here to do a course that was given to many Africans so I’m very happy that I am back even if it is a very long time, and to attend this time,” President Kagame said.
WhatsApp-Image-2023-09-15-at-11.44.14-1.jpeg

As Chair of the G77 + China, Cuba has convened the Summit under the theme, “Current Development Challenges: Role of Science, Technology, and Innovation.”
The two-day Summit brings together Heads of State and Government and other representatives from over 100 countries, as well as leaders of multilateral organizations to establish practical actions to address core developmental challenges and disparities between developed and developing countries, encouraging South-South cooperation to achieve collective goals.

The Group of 77 was established in June 1964 by 77 developing countries at the end of the first session of the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) in Geneva. Today, the organization includes 134 developing countries, working together to define means for countries of the Global South to articulate and promote their collective economic interests and enhance their joint negotiating capacity on all major international economic issues
 
Back
Top Bottom