ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #61
Anapimwa kama mpinzani ,hao si ndio walikitoa chama Tawala wakidai Wao Wana ajenda ya Maendeleo,mbona wanaolalamika badala ya kuleta maendeleo?Huyo tayari ni Chama tawala, siyo upinzani. Haangaliwi wala kupimwa kama mpinzani bali anaangaliwa na kupimwa kama mtawala
Acha ushamba sio kila nchi ina siasa za "chama tawala", kuna nchi tayari zimeshavuka huo ujima. Ukifika Marekani, Kenya, Senegal, Ghana, Zambia, Japan na nchi nyingi za Ulaya ukaanza kuongelea "chama tawala" watakuona kama mshamba uliyefukuliwa pangoni.Anapimwa kama mpinzani ,hao si ndio walikitoa chama Tawala wakidai Wao Wana ajenda ya Maendeleo,mbona wanaolalamika badala ya kuleta maendeleo?
CCM Iko madarakani karibu miaka 100 sasa hivi na hakuna la maana walilolifanya sembuse huyu wa miez kadhaa!!!Ruto Toka ameingia si nae ni Yale Yale kama hao wengine?
Ni wajinga ndio wanaweza Vu ja miguu Yao kushabikia Wapinzani njaa.
Mleta uzi ni mshamba tu, hajui hata Marais wote wa Senegal wametoka vyama tofauti tofauti. Kila Rais wa Senegal aliyeingia madarakani ameingia kwa chama chake tofauti, ni upumbavu kuzungumzia chama tawala nchini Senegal, ukiondoa Rais wa Kwanza wa nchi hiyo wote waliomfuatia wangepaswa kuitwa marais wa wapinzani kwa akili za mleta uzi.Huyo tayari ni Chama tawala, siyo upinzani. Haangaliwi wala kupimwa kama mpinzani bali anaangaliwa na kupimwa kama mtawala
Ma huu ujinga wa kuvi lebel vyaka vingine kuwa ni vya upinzani mdiyo una justify vyaka vingine vionekane havistahili kuingiza nchi bali pia vina justify Chama kilichopo madarakani kujipa uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani no matter what pia kijione serikali imewekwa kwa ajili ya Chama tawala na inatakiwa ikisaidie Chama hicho dhidi ya vyama vingine ili kuendelea kubaki madarakani.Mleta uzi ni mshamba tu, hajui hata Marais wote wa Senegal wametoka vyama tofauti tofauti. Kila Rais wa Senegal aliyeingia madarakani ameingia kwa chama chake tofauti, ni upumbavu kuzungumzia chama tawala nchini Senegal, kwa hiyo ukiondoa Rais wa Kwanza wa nchi hiyo wote waliomfuatia wangepaswa kuitwa marais wa wapinzani kwa akili za mleta uzi.
Huna unachokijua wewe unadhani China wangecheka na nyani leo hii mngekuwa mnaomba misaada huko? Rwanda ya leo utafananisha na Rwanda ya 94, unaona hata sifa tu ya Kigali na sawa na majini mengine ya Afrika? Kwa kasi ya maendeleo na ustaarabu wa Rwanda leo unadhani baada ya miaka 20 watakuwa wapi? Unaijua Libya ya Gadafi wewe ni sawa na Libya ya leo?Ndiyo mawazo ya mtu mpumbavu, maisha yana kanuni na uongozi una kanuni zake pia. Tupe nchi yoyote Africa inayotumia mkono wa chuma na ina maendeleo. Vijana wengi mmekuwa na mawazo ya kuondoa uhai wa watu ilimradi upate kula.
Sasa kama hujui matatizo ya ubinafsishaji hapa Tanzania, sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.Imemwaga Mapovu na gazeti lisilo na maana.
Kama unajua ubinafsishaji umeanza kitambo Kuna tatizo lipi kwenye sera za ubinafsishaji?
-Kama Elimu ilikuwa Bure Toka ya mwl, ada ilikuwa ni ya nini? Kajifunze maana ya skolashipu ndio uje tujadili.
-Takwimu za Kilimo haya wewe unaweza zipata ukitaka.Mfano Leo hii 🇹🇿 ni namba 2 Kwa uzalishaji wa Tumbaku Afrika,utoshelevu wa msosi umefikia asilimia 134.
View: https://www.instagram.com/p/C_0dHl9NJQe/?igsh=MWFlaGYzZWxoa2Rwdg==
Ubaya wa ubinafsishaji ni upi? Ulitaka ufanywe na Machadema ndio utakuwa mzuri au? MbuziSasa kama hujui matatizo ya ubinafsishaji hapa Tanzania, sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe.
Ubinafsishaji sio jambo baya lakini haliwezi kufanywa na ccm likawa na maana, alianza mkapa na tunajua kilichotokea, kwa samia hali inakua itakua mbaya zaidi.
Unajaribu kuficha incompetence yenu Wapinzani Kwa Kisingizio Cha chama Tawala 🤪🤪🤪Acha ushamba sio kila nchi ina siasa za "chama tawala", kuna nchi tayari zimeshavuka huo ujima. Ukifika Marekani, Kenya, Senegal, Ghana, Zambia, Japan na nchi nyingi za Ulaya ukaanza kuongelea "chama tawala" watakuona kama mshamba uliyefukuliwa pangoni.
Mjinga mamaako mbwa wewe. Rais hupewa siku 90 za mwanzo kuweka taswira ya dira ya uongozi wake. Leo amelazimika kuvunja bunge hii yote inaonyesha anavyozingua halafu we unakuja na lugha za kupuuzi dhidi yangu hizi keyboards bana unaweza kukuta nabishana na mpuuzi tu.Ww jamaa jau sana yaani mtu hata mwaka hajamaliza unaongea ujinga kiasi hiki!!
Thats normal duniani kote angalia hata mabunge ya wenzetu tulioiga kwao sometimes hutokea na ikiwa hivi huwa shida sasa kwa waafrika shida ni zaidi so alipaswa kujua toka mwanzo namna njema ya kuharmonise namna ya utawqla wake ili awagawanye hao wapinzani lakini anataka kuleta uafrika leo kavunja bunge hii ni ishara kubwa sana safari yake ni fupi. Muda anaotumia kuplay politics ndio anazidi kudelay kudeal na uchumi wa nchi. Theres no way unahangaika kubishana na mbwa wanaokubwekea wakati wewe una safari ndefu. More than 100 days zimepita hakuna anachofanya na sasa anavunja bunge uchaguzi mwingine November at whose expense?Mleta mada hujaelewa chama tawala kipo wabunge wachache,upinzani ndo wengi
Rais anayepewa siku 90 ni katika siasa za Marekani, huo ni utamaduni wa siasa za Marekani ambapo katiba zina nguvu na nchi zinaendeshwa kitaasisi zaidi. Sio katika nchi kama za Tanzania, DRC, Uganda, Sudan n.kMjinga mamaako mbwa wewe. Rais hupewa siku 90 za mwanzo kuweka taswira ya dira ya uongozi wake. Leo amelazimika kuvunja bunge hii yote inaonyesha anavyozingua halafu we unakuja na lugha za kupuuzi dhidi yangu hizi keyboards bana unaweza kukuta nabishana na mpuuzi tu.
Unajua Waingereza katika kipindi cha miaka mitano iliyopita wamefanya uchaguzi mkuu mara ngapi na kubadilisha mawaziri wakuu wangapi??Thats normal duniani kote angalia hata mabunge ya wenzetu tulioiga kwao sometimes hutokea na ikiwa hivi huwa shida sasa kwa waafrika shida ni zaidi so alipaswa kujua toka mwanzo namna njema ya kuharmonise namna ya utawqla wake ili awagawanye hao wapinzani lakini anataka kuleta uafrika leo kavunja bunge hii ni ishara kubwa sana safari yake ni fupi. Muda anaotumia kuplay politics ndio anazidi kudelay kudeal na uchumi wa nchi. Theres no way unahangaika kubishana na mbwa wanaokubwekea wakati wewe una safari ndefu. More than 100 days zimepita hakuna anachofanya na sasa anavunja bunge uchaguzi mwingine November at whose expense?
Mods shughulikeni na huyu anatukanaMjinga mamaako mbwa wewe. Rais hupewa siku 90 za mwanzo kuweka taswira ya dira ya uongozi wake. Leo amelazimika kuvunja bunge hii yote inaonyesha anavyozingua halafu we unakuja na lugha za kupuuzi dhidi yangu hizi keyboards bana unaweza kukuta nabishana na mpuuzi tu.
Ni kweli mama yangu anaweza kuwa mjinga maana hawezi kufahamu Kila kitu ambayo ndio maana halisi ya mjinga ila ulichokosea ni kumwingiza kwenye huu mjadala usiomuhusu.Mjinga mamaako mbwa wewe. Rais hupewa siku 90 za mwanzo kuweka taswira ya dira ya uongozi wake. Leo amelazimika kuvunja bunge hii yote inaonyesha anavyozingua halafu we unakuja na lugha za kupuuzi dhidi yangu hizi keyboards bana unaweza kukuta nabishana na mpuuzi tu.