ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Anapimwa kama mpinzani ,hao si ndio walikitoa chama Tawala wakidai Wao Wana ajenda ya Maendeleo,mbona wanaolalamika badala ya kuleta maendeleo?Huyo tayari ni Chama tawala, siyo upinzani. Haangaliwi wala kupimwa kama mpinzani bali anaangaliwa na kupimwa kama mtawala
Watu ndio watajifunza Sasa kwamba kumbe porojo Huwa hazijengi gorofa