Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Huyo Samia kaachiwa ofisi na JPM, hata yeye keshasema alikuwa msaidizi tu wa Kaka anayefanya kazi ngumu.Hiyo Kazi nzito ndio ilikuwa hivi si ndio? Acheni ujinga nyie akili ndogo..
Angalia mwaka 2016 afu angalia miaka ya Mwendazake then uje na Mwaka 2021 wa Samia ndio uongee upuuzi wako hapa 👇
Kumbuka haya anayofanya Samia msingi wake ni JPM, kama vile aliyoyafanya JPM msingi wake ukiwa ni Mzee Kikwete na hayati Mkapa.