Rais Felix Tchisekedi wa DRC awasili Nchini kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku 4, kutembelea Bandari ya Dar es Salaam

Rais Felix Tchisekedi wa DRC awasili Nchini kwa Ziara ya Kiserikali ya Siku 4, kutembelea Bandari ya Dar es Salaam

Hiyo Kazi nzito ndio ilikuwa hivi si ndio? Acheni ujinga nyie akili ndogo..

Angalia mwaka 2016 afu angalia miaka ya Mwendazake then uje na Mwaka 2021 wa Samia ndio uongee upuuzi wako hapa 👇
Huyo Samia kaachiwa ofisi na JPM, hata yeye keshasema alikuwa msaidizi tu wa Kaka anayefanya kazi ngumu.

Kumbuka haya anayofanya Samia msingi wake ni JPM, kama vile aliyoyafanya JPM msingi wake ukiwa ni Mzee Kikwete na hayati Mkapa.
 
Kazi ngumu ndio hiyo nikiyokuonyesha hapo juu ya kuharibu Uchumi wa Nchi..

Wewe ulitaka asemaje wakati wako chama kimoja? Angekuwa wa chama tofauti angemnanga zaidi..

Kumbuka SSH alishasema watu walikuwa wanakopa banks Ili kutoa gawio kumfurahisha Jiwe..
 
Habari za leo wana jukwaa,

Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4.

Pamoja na mambo mengine atatembelea bandari ya Dar na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.

Ikumbukwe DRC ni tajiri kwa rasilimali na bandari ya Dar ndiyo lango lao kuu la kupitishia mizigo yao. 👇
View attachment 2394353

22 OCTOBER 2022
RDC : ARRIVÉE AMBIANTE DU Pdt FÉLIX TSHISEKEDI A TANZANIE

Source : Congo Live TV
 
Wana option ya Lobito Angola na Bandari za South Africa na Msumbiji.

Hata hivyo hatutegemei kupata Rais dizaini ya Mwendazake ndio alivuruga majirani.
Ofcourse hawezi tokea rais mwenye mawazo ya kijima kama yako.

Kutwa kushabikia mambo yasiyo na tija.
 
Mradi wa SGR kwa sasa umegeuka kama jumba la maonesho 😥

Hii Dar - Moro sijui itaanza lini aisee
 
Anaacha waasi wanalichachafya jeshi lake anajifanya kiguu na njia ngoja wampindue juu kwa juu.
 
Mradi wa SGR kwa sasa umegeuka kama jumba la maonesho 😥

Hii Dar - Moro sijui itaanza lini aisee
Dar Es Salaam ~Morogoro Imekuwa shida Wahuni Wanafanya Watakavyo
Mzilankende Asingekubali Hayo Mambo
 
Ofcourse hawezi tokea rais mwenye mawazo ya kijima kama yako.

Kutwa kushabikia mambo yasiyo na tija.
Mjima ni yule jamaa yenu mliyekuwa mnajitoa ufahamu na kufanya vituko kama hivi 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221014-151634.png
    Screenshot_20221014-151634.png
    200.2 KB · Views: 1
22 OCTOBER 2022
RDC : ARRIVÉE AMBIANTE DU Pdt FÉLIX TSHISEKEDI A TANZANIE

Source : Congo Live TV

Angekuwa Rais Samia sasa kapokelewa na Waziri sijui wapuuzi ambavyo wangetokwa na mapovu ya makamasi..

Kumbe kwenye protokali ni mambo ya kawaida kabisa hayo.
 
Mjima ni yule jamaa yenu mliyekuwa mnajitoa ufahamu na kufanya vituko kama hivi 👇
Sio lazima uwe unatetea kila kitu mkuu.

Unapoteza consistency na pia mambo mengine unapiga kimya tu yapite hata kama una weza toa maoni.
 
Wamekuwa wakirudha ufunguzi, mara ya kwanza hiyo kitu ilikuwa ifunguliwe 2020 mwishoni...

Sijui hata kitu gani kinakwamisha, kila siku ni viongozi kwenda 'kagua na kujiridhisha'
Wanavuta mda Ili wapate umeme wa uhakika wa kuendesha sgr kutoka kwenye gas na mitambo waliyoagiza.
 
Back
Top Bottom