Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Huyo Samia kaachiwa ofisi na JPM, hata yeye keshasema alikuwa msaidizi tu wa Kaka anayefanya kazi ngumu.Hiyo Kazi nzito ndio ilikuwa hivi si ndio? Acheni ujinga nyie akili ndogo..
Angalia mwaka 2016 afu angalia miaka ya Mwendazake then uje na Mwaka 2021 wa Samia ndio uongee upuuzi wako hapa 👇
Kazi ngumu ndio hiyo nikiyokuonyesha hapo juu ya kuharibu Uchumi wa Nchi..Huyo Samia kaachiwa ofisi na JPM, hata yeye keshasema alikuwa msaidizi tu wa Kaka anayefanya kazi ngumu.
Kumbuka haya anayofanya Samia msingi wake ni JPM, kama vile aliyoyafanya JPM msingi wake ukiwa ni Mzee Kikwete na hayati Mkapa.
Habari za leo wana jukwaa,
Kama kichwa kinavyosomeka, Rais wa DRC amewasili nchini kupitia Zanzibar ambako atapumzika na kisha kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini ya siku 4.
Pamoja na mambo mengine atatembelea bandari ya Dar na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Samia.
Ikumbukwe DRC ni tajiri kwa rasilimali na bandari ya Dar ndiyo lango lao kuu la kupitishia mizigo yao. 👇
View attachment 2394353
Ofcourse hawezi tokea rais mwenye mawazo ya kijima kama yako.Wana option ya Lobito Angola na Bandari za South Africa na Msumbiji.
Hata hivyo hatutegemei kupata Rais dizaini ya Mwendazake ndio alivuruga majirani.
Usiseme Hivyo Mzilankende Alifanya Sehemu YakeSaizi sasa Tanzania ndio imepata Rais ,miaka 5 iliyopita tulikuwa na futuhi na mgonjwa aliyekimbia mirembe.
Dar Es Salaam ~Morogoro Imekuwa shida Wahuni Wanafanya WatakavyoMradi wa SGR kwa sasa umegeuka kama jumba la maonesho 😥
Hii Dar - Moro sijui itaanza lini aisee
Aliharibu pakubwa wakati alikuwa na nafasi ya kutufikisha pazuri zaidi ya alipotuacha JK..Usiseme Hivyo Mzilankende Alifanya Sehemu Yake
Mjima ni yule jamaa yenu mliyekuwa mnajitoa ufahamu na kufanya vituko kama hivi 👇Ofcourse hawezi tokea rais mwenye mawazo ya kijima kama yako.
Kutwa kushabikia mambo yasiyo na tija.
Angekuwa Rais Samia sasa kapokelewa na Waziri sijui wapuuzi ambavyo wangetokwa na mapovu ya makamasi..22 OCTOBER 2022
RDC : ARRIVÉE AMBIANTE DU Pdt FÉLIX TSHISEKEDI A TANZANIE
Source : Congo Live TV
Walisema next November au JanuaryMradi wa SGR kwa sasa umegeuka kama jumba la maonesho 😥
Hii Dar - Moro sijui itaanza lini aisee
Sio lazima uwe unatetea kila kitu mkuu.Mjima ni yule jamaa yenu mliyekuwa mnajitoa ufahamu na kufanya vituko kama hivi 👇
Kwani mimi natetea nini hapa?Sio lazima uwe unatetea kila kitu mkuu.
Unapoteza consistency na pia mambo mengine unapiga kimya tu yapite hata kama una weza toa maoni.
Walisema next November au January
Wanavuta mda Ili wapate umeme wa uhakika wa kuendesha sgr kutoka kwenye gas na mitambo waliyoagiza.Wamekuwa wakirudha ufunguzi, mara ya kwanza hiyo kitu ilikuwa ifunguliwe 2020 mwishoni...
Sijui hata kitu gani kinakwamisha, kila siku ni viongozi kwenda 'kagua na kujiridhisha'