Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

Kama falsafa za Mwalimu zingefanikiwa kama alivyokuwa anataka Leo Tanzania ingekuwa mbali sana !! Angalia China walikuwaje miaka ya sitini na Leo wapo wapi !! Mkiendekeza kazi na bata mtasubiri sana !!!
 
Ff you iytttyybtyyyyyyyy6yygrgggggggggggggggggggggggggggggghhhhghhghhggggtyh thing butchering hjjjjhhggggjzbbbdoiffffsvugnbiifdsdvuhg
 
Kuna rais aliingia madarakani kwa rushwa waziwazi! Alihonga watu hovyo akaunda kikundi cha kumpigia mapambio kikaitwa mtandao....alikuwa mpiga dili, alitaka kumrisha mshikaji wake urais chama kikamkatalia, kwa hasira akamweka mwendawazimu madarakani!

Sasa hivi anaendesha nchi kwa remote control...anafanya mbinu ili mwanae mpiga dili kama yeye aje kuwa rais!

Huyu ndie rais mwovu kuliko wote kuwahi kutokea nchi!!
 
Hakuna wala hapatakiwepo Rais aliyekubalika Tanzania kama John Pombe Mahufuli.Kuanzia ushindi kwenye Sanduku la kura mpaka vichochoro vyote vya Tanzania.Kiongozi mwingine aliyefuatia ukimuacha Nyerere ni Edward Moringe Sokoine.Hao watu Mungu aliwaleta kwa kusudi maalum [emoji119]
 
siyo nyie mlisema kajenga uwanja wa ndege kwao usio natija, mkabila dikteta, anakurupika siyo nyie
 
Wabongo ni vigeugeu sana kazi yetu ni kumuelewa Rais akimaliza muda wake, ila akiwa madarakani kazi ni hizi mwendo wa lawama, majungu, kashfa na figisu kibao. Ifike mahali tujifunze baadhi ya mambo.
 
kifupi wooote walichukiwa
1. haambiliki
2.dhaifu ushauri kwa mkewe!
3.kiwira inamuhusu mrafi haendi kwao!
4. dhaifu sijui anaupendeleo lkn msafi!
5,Yelewiii huyu ndo kichaa kabisaa kichwa naji mpaka kikamuaa!
6. mdada mpole mwelewa sana ila ameanza kula kona nchi naendeshwa na mwingine!

kila mtanzania isipokuwa mimi tu anafaa apigwe bakora kwa mdomo ili uvimbe aache kusema hovyo hovyo!
 
Kama falsafa za Mwalimu zingefanikiwa kama alivyokuwa anataka Leo Tanzania ingekuwa mbali sana !! Angalia China walikuwaje miaka ya sitini na Leo wapo wapi !! Mkiendekeza kazi na bata mtasubiri sana !!!

Yan tungefuata sera za nyerere leo tungekuwa ovyo sanaaaa
Hao China [emoji630] wenyewe deo ping ndo alileta mageuzi kama alivyofanya Mwinyi kwetu
 
Si rahisi kwa binadamu yeyote yule kukubalika na kila mtu kwa yale atendayo au asemayo. Hata jua likiwa kali wapo wanaoshukuru na wengine hulalamika.

Muhimu ni kwa kiongozi kutenda kwa mujibu wa kanuni na taratibu zilizowekwa na si kwa matakwa yake binafsi. Tatizo la nchi yetu kila kiongozi hutenda vile anavyoona inafaa na ndio maana malalamiko yanakuwa mengi.
 
Haijawahi kutokea

Miaka yote malalamiko

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…