Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.
Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.
Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.
HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?