Rais hajiulizi kwanini wanaomsifia ni wateule wake tu na si makundi ya Wananchi?

Kwa umri wangu na Marais wote nliowashuhudia sijawahi ona rais dhaifu kama mama Abdul yaan hata uwezo wa kawaida kufanya maamuzi hana
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Kwa hiyo huko kwenye mikutano yake wanapenda ni wateule wake si ndio? Mtaweweseka sana aisee na Bado maana wapnga mikakati saizi wako vizuri.

Uzuri Kila sehemu ambayo Samia ataenda Kuna utitiri wa miradi yaani sio ya kutafutiza kama zama za maigizo ya kula mahindi na kupiga push ups.
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Mkuu utaratibu wa mapambio ulianza akiwa makamu wa Rais. Walikuwa wanapambia kipindi hiko wengi wao ni hawa hawa wanaopambia sasa!

Mambo ya viuma kukaza havijaanza leo na mambo yote unayoona hayako sawa hayajaanza leo, yameanza kipindi hiko na hukuwahi kusema, huoni ukianza kusema leo unakuwa biased!
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?

Tatizo nini?

Mimi sijateuliwa namsifia.
 
Kwa umri wangu na Marais wote nliowashuhudia sijawahi ona rais dhaifu kama mama Abdul yaan hata uwezo wa kawaida kufanya maamuzi hana
Mkuu tuambie kwa mtazamo wako ulitaka afanye uamuzi gani ili uone na kusadiki kuwa ni Jasiri na ana uwezo wa kufanya maamuzi?
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Kwa sasa hivi hawezi kujiuliza ila siku akistaafu ataweza kujiuliza kujishangaa pia
 
Tatizo lenu mmelemaa,mlizoea zama za mwendazake za kusifia sifia kila mwananchi hadi wafungwa gerezani kumsifia Rais, after all Rais hafanyi kazi ili asifiwe,ni jukumu lake kutumikia wananchi,kama unaona kero na kasoro umepewa Ruksa kukosoa na hakuna wa kukugusa Wala kukunyooshea kidole
 
Kwa umri wangu na Marais wote nliowashuhudia sijawahi ona rais dhaifu kama mama Abdul yaan hata uwezo wa kawaida kufanya maamuzi hana

Kuongea tuh hivyo nyuma ya keyboard ni jambo jepesi sana,usione vyaelea vimeundwa,kama wewe hauoni ni Haki yako,ila nchi inaenda na kelele hakuna,time will tell...
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Anaujua ukweli kuwa Kura za wananchi zimeikataa CCM
 
Maama abduli anao uwezo mdogo sana kumpa mambo makubwa hivyo itakuwa ni kujites ww mwenyewe ww mwambie agawe pesa za kununua magoli ya yanga na simba au kuwa kanisa milioni 100
 
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.

Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi mate yana Kauka ni wateule wake au wanaochaguliwa kwa back up ya ofisi yake.

Bado hastuki tuu kuwa wanamvesha kilemba cha majani huku wakicheka moyoni? Kwa nini hizo sifa za umeme, maji, barabara na zahanati zisitoke kwa raia wahusika? Ni fix mtupo na Rais wetu kaamua serikali hii iishi kwa ulaghai.

Huku chini raia wanalalamikia maisha, watumishi wale wasio nafasi za wizi na ufisadi wanalia na watendaji wasio weza kuwa chawa wananungunika.

HASHTUKI? Anakubalije taasisi ya urais kuvunjiwa heshima kwa kuvikwa lemba la ukoka? Watu wakifikia conclusion ya kwamba viatu havimtoshi atanungunika?
Wewe ni mwananchi au mlalamikaji mtandaoni?
 
Kwani wateule wake wenyewe si wananchi?
 
Back
Top Bottom